Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Nitamchangia bwana Zitto, Mnyika, Mkumbo, Mdee na Shamsi Vuai Nahodha, mkianza kampeni tu nitawasaidia
Mkuu huyu kwa upande gani vile?
Nitamchangia bwana Zitto, Mnyika, Mkumbo, Mdee na Shamsi Vuai Nahodha, mkianza kampeni tu nitawasaidia
Kosa Kuu la Mwigulu ni kumfungulia kesi Dk. Kitila huko Singida, hivyoHali
ya chuki dhidi ya
CHADEMA inayoonyeshwa na mbunge wa Iramba Magharibi dhidi ya CHADEMA
imesababisha wafuasi wa CHADEMA kote nchini kuungana kuhakikisha CHADEMA
inamshinda kwa kishindo kwenye uchaguzi mkuu katika jimbo la Iramba
2015.
Mwigulu Nchemba anakabiliana na Msomi aliyebobea Dr Kitila Mkumbo ambaye
ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA.
Pia wafuasi wa CHADEMA wameapa kuhakikisha CHADEMA inazoa viti vyote vya
udiwani Iramba Magharibi ili kumuonyesha ni nini maana ya nguvu ya
umma.
Katika mahojiano na wafuasi kadhaa wa CHADEMA wa mikoa ya Mara,Kagera na
Mwanza wameutaka uongozi wa CHADEMA kuanzisha Akaunti maalum ambayo
itachangiwa na wanachama kuhakikisha Mwigulu harudi bungeni.
Wanachama hao wamesema chuki ya Mwigulu dhidi ya Chadema hailezeki na
ameapa kutumia njia zozote kuiangamiza CHADEMA.Wamesema hata awapo
bungeni hatetei chochote wanaIramba zaidi ya kutukana na kukashifu
viongozi wa CHADEMA.
Hii itakuwa ni Operesheni Ondoa Mwigulu Iramba(OMI) walisema wafuasi hao
wa Chadema.Pia walisema watajitolea kukaa Iramba kipindi chote cha
Kampeni kuhakikisha Mgombea wa CHADEMA anapata ushindi wa 80%.
Kwa sasa Jimboni Iramba Dr Kitila Mkumbo anazungumzwa kila kona ya Jimbo
hilo kama mwanasiasa makini,mpole na mtetezi wa dhati wa wananchi.Mzee
mmoja katika kata ya Ndago Iramba aliwahi kusema mwaka jana kuwa kwa
kawaida watu wa Iramba ni wanyenyekevu na wenye kupima maneno kabla ya
kuzungumza mfano wa Dr Kitila.Mzee huyo alisema hawakuwahi kujua kama
kuna siku wangekuwa na mbunge mwenye kuhamasisha chuki ndani ya jamii
kiasi cha kuhatarisha amani ya nchi.
Wakuu chama,ritz,chris lukosi,kingukitano, bungeni,m23 nataka niwahakikushie kuwa CDM hata wakaleta ruzuku yao na michango yao yote kamwe MWIGULU hawatamuweza. Jamani acheni kujidanganya Dr Mkumbo hata nyumbani kwao MGELA hawamjuwi hv ubunge munatoa nyie humu JF? Tena anzeni kuchangisha leo.
BABU yenu mkija nae akaanza kuangalia wake wake zetu ndio utakuwa mwisho wake wahaya na wanyiramba ni tofauti. Chonde chonde BABU utakufa huku acha ulafi wako kinondoni..
Nitamchangia bwana Zitto, Mnyika, Mkumbo, Mdee na Shamsi Vuai Nahodha, mkianza kampeni tu nitawasaidia
shelui=mwigulu naona unaomba tafu kwa vijana wako.tembo amelitia maji time will tell
Atapewa ubunge wa viti maalum
Hakika wewe umeiva kwa kumhusisha Shamsi Vuai Nahodha, najua unapanga kuchagua mtu na sio chama, good mission ila kigezo ulichotumia kuminclude huyo jamaa sikijui labda kwa kuwa mimi ni maamuma kwa siasa za Nahodha!
Post haijasema mji wa kiomboi mkuu. Imesema kila kona ya jimbo la iramba. Hata hivyo sio nia yangu kusema ni kweli au uongo ila kuonyesha kuwa inaweza ikawa sio kiomboi lakini ni maeneo mengine nje na kiomboi ambayo nayo wewe haupo. Ni hilo tuMimi ni mwana Chadema, nipo Iramba. Sio kweli kuwa Mkumbo ni gumzo mji mzima wa Kiomboi. Wakazi wa Kiomboi wanaishi tu kama hawana mbunge lakini wala hawana fikra za huyo Kitila. Molemo usiwe mwongo hivyo
Dr Mkumbo ajipange sana maana huyu dogo ni mchawi sana!
huyu alikuja hapa tegeta dar akagawa pikipiki eti anataka jimbo la halima mdee nikacheka sana...
Mimi ni mwana Chadema, nipo Iramba. Sio kweli kuwa Mkumbo ni gumzo mji mzima wa Kiomboi. Wakazi wa Kiomboi wanaishi tu kama hawana mbunge lakini wala hawana fikra za huyo Kitila. Molemo usiwe mwongo hivyo
Mwgulu oyeeeeeeeeeeee
Nadhani ni kwa sababu ya siasa zake zenye staha. Sijawahi kusikia Nahodha akitoa majibu ya hovyo wala lugha chafu hususani bungeni kama wanavyofanya akina Nchimbi, Wasira, Lukuvi etc.