Mwigulu akalia kuti kavu Iramba Magharibi

Mwigulu akalia kuti kavu Iramba Magharibi

Status
Not open for further replies.
Mkuu Kingu Jr, sehemu hz.... Misigiri, shelui, kyengege, kiombo, ndago kwote ni ngome ya Mwigulu na mbona hukusemi nyumbani kwa MKUMBO MAANA HAJULIKANI
 
Siasa zake chafu sana,siasa za kuwatakia wenzake mabaya,kauwa kada mwenzake kule iramba kwa kutumia mbinu chafu ili mradi awaframe wenachadema,he is not thinking beyod party politics,kashirikiana na tiss kumtesa kibanda ili mradi awaframe chadema..kule igunga alipanga kada mwenzake akamuagiwa acid,ionekane ni chadema..huyu jamaa ni hatari kesho atalipua ikulu ionekane ni chadema.hafai hafai aondoke kwenye ulimwengu wa siasa.hatufai hata kidogo.
 
Bams unajua unachokiandika au unakurupuka tu na kuanza kurusha makombora? Mwigulu hatoki kata ta ulemo anatojea makunda ni kata ya kyengege.Kama huna uhakika toa umbea wako humu JF peleka kwa watoto wenzako FB.Duu Mwigulu kweli kiboko ya CDM leo nimeamini.Nawahakikisheni njooni maCDM wote lakini huyu hamumuwezi. Ninachotaka kuwashauri ni kuwa BABU aache uchu wake maana huku atakufa. Wanyiramba tuweke mbali wake zetu BABU anakuja kwa kisingizio cha kumtoa MWIGULU.
Mkuu unataka tukukumbushe fumanizi la Mwigulu Igunga? Tena mwanamke mwenyewe alikuwa anasaidia kampeni za CCM soma hapa Igunga: Kigogo wa CCM afumaniwa na mke wa mtu

Kama unampenda mhimize tu afanye kazi inayotengeneza mvuto kwa wananchi. Uovu daima hujenga chuki.

Anavisha mbwa bendera ya chama cha siasa, je Wananchi wanatafuta kiongozi bora anayevisha mbwa bendera?

Wananchi wameona juhudi ya Mwigulu ya kubambikizia kesi viongozi wa vyama vya upinzani (attempt to criminalize the opposition). Lakini wananchi wanaona na kugundua hayo, na hata hao wakifungwa si lazima wananchi wampende Mwigulu na CCM yake. Lawrence Masha alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, na Polisi wote wa Mwanza walikuwa wanamtetemekea kama bosi wao, lakini alipoteza mvuto kwa watu na watu wakasema tutachagua yeyote atakayewekwa kugombea naye. Mwigulu atafute kujenga mvuto, si kufanya uovu dhidi ya wengine.

Mauaji ya makada wa Chadema Igunga na Arumeru hayajasahaulika bado kwa wananchi, na jina la Mwigulu linahusika sana na hili.

Kama huyu ndiye kiongozi bora wa CCM, basi CCM imefilisika.
 
Duu hivi Mwigulu akiendelea kuwa mbunge 2015 which is obvious itakuwaje? Kuna watu nahisi watasusa kula, na wengine watajinyonga. Kuwa na mawazo ya kumwondoa Mwigulu 2015 ni ndoto za alinachi tena kwa Dr Mkumbo ahh huyo hawezi kabisa.Tuombe uhai tuone nani atakuwa mshindi lakini msioijua Iramba endeleeni kujidanganya. Mwigulu hapa hang'oki kamwe.......tena sahau
 
Dr Mkumbo hana ubavu wa kumwondoa MWIGULU huo ndio ukweli. Niambieni katika kata 17 Mkumbo nani anamjua? Kuna vijana wa ULEMO hawafiki hata 20, Kiomboi baadhi ya wachga tena kama 10 hivi, Misigiri hana chake, Ndago kuna vijana km 11 hv tena familia ya yule aliyekagombea nae nae 2010, the rest mkumbo hana kitu hajulikani. Huyo Dr Mkumbo ni kamanda wenu humu JF lakini sio kwa WANYIRAMBA huo ndio ukweli mtake msitake...
 
Hali ya chuki dhidi ya CHADEMA inayoonyeshwa na mbunge wa Iramba Magharibi dhidi ya CHADEMA imesababisha wafuasi wa CHADEMA kote nchini kuungana kuhakikisha CHADEMA inamshinda kwa kishindo kwenye uchaguzi mkuu katika jimbo la Iramba 2015.

Mwigulu Nchemba anakabiliana na Msomi aliyebobea Dr Kitila Mkumbo ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA.

Pia wafuasi wa CHADEMA wameapa kuhakikisha CHADEMA inazoa viti vyote vya udiwani Iramba Magharibi ili kumuonyesha ni nini maana ya nguvu ya umma.

Katika mahojiano na wafuasi kadhaa wa CHADEMA wa mikoa ya Mara,Kagera na Mwanza wameutaka uongozi wa CHADEMA kuanzisha Akaunti maalum ambayo itachangiwa na wanachama kuhakikisha Mwigulu harudi bungeni.

Wanachama hao wamesema chuki ya Mwigulu dhidi ya Chadema hailezeki na ameapa kutumia njia zozote kuiangamiza CHADEMA.Wamesema hata awapo bungeni hatetei chochote wanaIramba zaidi ya kutukana na kukashifu viongozi wa CHADEMA.

Hii itakuwa ni Operesheni Ondoa Mwigulu Iramba(OMI) walisema wafuasi hao wa Chadema.Pia walisema watajitolea kukaa Iramba kipindi chote cha Kampeni kuhakikisha Mgombea wa CHADEMA anapata ushindi wa 80%.

Kwa sasa Jimboni Iramba Dr Kitila Mkumbo anazungumzwa kila kona ya Jimbo hilo kama mwanasiasa makini,mpole na mtetezi wa dhati wa wananchi.Mzee mmoja katika kata ya Ndago Iramba aliwahi kusema mwaka jana kuwa kwa kawaida watu wa Iramba ni wanyenyekevu na wenye kupima maneno kabla ya kuzungumza mfano wa Dr Kitila.Mzee huyo alisema hawakuwahi kujua kama kuna siku wangekuwa na mbunge mwenye kuhamasisha chuki ndani ya jamii kiasi cha kuhatarisha amani ya nchi.

adondoke tu huyo kiazi mchochezi kubwa hafai msikitini wala kanisani
 
Ccm wanvyompenda akishindwa wanaweza kumchagua kupata viti maalum....
 
Hata mimi niko tayari kuchangia.Ils tusiishie hapo,tunahitaji radio na Tv live za CDM kwa ajili hasa ya kuwahabarisha wananchi kuhusu sera za CDM.
 
Kati bahati kubwa alizonazo huyu jamaa, nafasi yake ya kazi pale BOT ni constant kwani ubunge umemshinda.
 
Hata mimi niko tayari kuchangia.Ils tusiishie hapo,tunahitaji radio na Tv live za CDM kwa ajili hasa ya kuwahabarisha wananchi kuhusu sera za CDM.
 
Mimi ni mwana Chadema, nipo Iramba. Sio kweli kuwa Mkumbo ni gumzo mji mzima wa Kiomboi. Wakazi wa Kiomboi wanaishi tu kama hawana mbunge lakini wala hawana fikra za huyo Kitila. Molemo usiwe mwongo hivyo

hasa wewe ndo mwongo,wanairamba wamefikia hatua kumchoka mwigulu kwa siasa zake za maji taka,matendo anayoyafanya hayapaswi kufanywa na m2 mwenye kumcha mungu,vitendo alivyofadhili na kugharimu maisha ya watu,ndivyo vitakavyoshusha utu wake,
 
Last edited by a moderator:
Kama viongozi wa CHADEMA MMESHINDWA KUFUNGUA AKAUNTI BASI TUWASILIANE ILI NIWAPE ATM YA AKAUNT MBADILI PASSWORD NA ITUMIKE KUPOKEA MICHANGO MBALIMBALI. YAANI MIMI NIMESHAYACHOKA HAYA MAJITU MAGAGAGIGIccm magamba mpaka basi.
Mh.Mbowe, fungua akaunti mara moja kama haipo, kama ipo basi iweke jf na kwenye magazeti ili WATU TUCHANGIE CCM ING'OKE KABISA 2015.
 
Mimi ni mwana Chadema, nipo Iramba. Sio kweli kuwa Mkumbo ni gumzo mji mzima wa Kiomboi. Wakazi wa Kiomboi wanaishi tu kama hawana mbunge lakini wala hawana fikra za huyo Kitila. Molemo usiwe mwongo hivyo

mkuu unasema wanakiomboi wanaishi kama hawana mbunge?kwani mbunge wao kaenda wapi? Kwa hao ambao awamongelei mkumbo ndo maana watu wanataka kuja kupiga kambi huko.
 
Last edited by a moderator:
Huo ukweli utauona 2015 na kama mungu akituweka hai utaona kama nguvu ya umma ni ukombozi wa kweli just wait you will see.
Dr Mkumbo hana ubavu wa kumwondoa MWIGULU huo ndio ukweli. Niambieni katika kata 17 Mkumbo nani anamjua? Kuna vijana wa ULEMO hawafiki hata 20, Kiomboi baadhi ya wachga tena kama 10 hivi, Misigiri hana chake, Ndago kuna vijana km 11 hv tena familia ya yule aliyekagombea nae nae 2010, the rest mkumbo hana kitu hajulikani. Huyo Dr Mkumbo ni kamanda wenu humu JF lakini sio kwa WANYIRAMBA huo ndio ukweli mtake msitake...
 
Na je wanachi wana mwamko?Maana kama wanachi hawana mwamko wa kulinda kura zao hakuna kitakachofanikiwa hapo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom