Ryaro wa Ryaro
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 2,659
- 1,430
"Mzee huyo alisema hawakuwahi kujua kama kuna siku wangekuwa na mbunge mwenye kuhamasisha chuki ndani ya jamii kiasi cha kuhatarisha amani ya nchi".
Hayo ni maneno mazito sana toka kwa huyu mzee, hakika Siasa za Kimwigulu Michemba kwa sasa zimeligharimu taifa. huyu Michemba aliarika Mechi na Magaidi wa ukweli huku hajaiandaa serikali yake. Siasa Uchwana na Feki za Kuchakachua Ugaidi na Kuuweka kwenye mitandao ya Kijamii matokeo yake, leo magaidi wa ukweli wametua kutuonyesha ugaidi halisia. Michemba Migulu umetufikisha kubaya sasa ni jukumu lako ututoe hapa tulipofika, na Siasa zako Chafu Naamini kama utaendelea kuratibu siasa hizi, siku moja zitakufikisha Mahala usipopategemee. let us wait and see your next political popularity seeking Movies... ...