profesa.n.
Member
- Apr 23, 2012
- 84
- 58
Wamemlaki kama mfalme gani, mfalme Juha au?.......................wengi wa hao walioenda hapo wamefuata chapaa maana wanajua kuwa huyo ndo mwenye kugawa fedha CCM pia wengine wameenda ili wamjue vizuri ili zikianza kampeni rasmi wawe makini nae asije ''kuwa-zinzia'' wake zao.
Nono you mean Mwigulu anachana na msumeno siyo?
La hasha,
Kama kina Mwigulu wanachana na kiwembe, wajue wenzao wanachana na msomeno! Tangu lini gogo likakatwa kwa kiwembe?
Hapo Nkinga nilitegemea
Mwigulu ashikwe ugoni maana hapo pana totoz toka maeneo tofauti Tanzania
wanasomea u-nurse
Kama kawaida yake anga hizo lazima akatize
Kila mara nasema mnaponzwa na mahaba ya kupitiliza yasiyo na mashiko ndiyo maana mnafumba macho kuukataa ukweli. Aibu kwelikweli. Unasema piccha zimepigwa siku moja, kusoma hujui hata picha kutofautisha huwezi pia?? wewe huoni hata mashati alovaa kiboko yenu Mwigulu moja la mikono mirefu na lingine mifupi? sasa unataka kutuambia alikuwa anabadilisha saa hiyohiyo na kupiga picha?? Acha kujidanganya,, amka.. face the reality. Peopleeeeeee'sDuh!! Yaani picha zinapigwa 10 kwenye mkutano mmoja alafu kila siku inawekwa mojamoja kwenye mtandao!! Hakika kama hii ndo akili ilobaki ccm, basi CDM njia ni nyeupe!!
Kijana hacha kutumika!!
Kuhutubia walevi na vikongwe ndio unaita kufunika
Malori ya kuwafikisha kwao na Ubwabwa.Hata mie nisingelikosa
Jamaa anachana kwa wembe na kuacha vidonda vikali sana kwa watu fulani..............
View attachment 64898
Ni kweli kuna tetesi kuwa kijana anapewa ukatibu mkuu CCM badala ya Mukama
IGUNGA anakaa huko ILI ASIMWAGE UNGA? kwasababu Chekecheo
kali Linakuja CCM-CC
wenzake wanachana kwa kotama na kuacha vidonda vyenye mashimo. mia
Jamaa anachana kwa wembe na kuacha vidonda vikali sana kwa watu fulani..............
View attachment 64898
mwanzoni mlisema picha za mwaka 2010, sasa mmebadilika mnaongelea ubwabwa!! hahahahaa I mean you people need to grow up you know! Heshima sana.
Jamaa anachana kwa wembe na kuacha vidonda vikali sana kwa watu fulani..............
View attachment 64898