TANZIA Mwigizaji Mzee Onyango afariki dunia

TANZIA Mwigizaji Mzee Onyango afariki dunia

Mwita Maranya tamtamarango bado anapumua

Sema kuna igizo lao DTV Kipindi kile Onyango anasalimiwa za asubuhi anaitikia 'Hamsini' 🤭

Ile kavurugwa na asubuhi, sipati picha kipindi hiki lita 5000 angeitikiaje 🤗
 
Nilijuaga ni mjaluo kumbe maisha ya sanaa tu. Apumzike kwa amani, ucheshi wake ukawafariji familia, ndugu na jamaa katika kipindi hiki kigumu
 
Kuna Sheikh flani alikuwa akiigiza na hawa wakongwe ila yeye alikuwa akizungumza kwa lafudhi ya kipemba. Sikumbuki aliitwa nani
Bashir (Bithiri in Onyango's voice). Huyu Bashir alinogesha msemo wa 'Taarab imo humo' kibwagizo ambacho Clouds FM walikitumia sana miaka Ile ya 1999 - early 2000s
 
Kilichonisikitisha ni kufanya shughuli zote za msiba nyumbani kwa dada yake wakati ana kwake hapo hapo Kawe, au marehemu ni wale wa kupanga chumba kimoja kiasi kwamba wanafamilia wake wameshindwa kuweka matanga nyumbani kwake, kwa mtu mzima kama marehemu ilitakiwa aagwe nyumbani kwake na si kwa dada/shemeji huko si kwake!
 
At thee end ni maisha tu,sasa mule kwenye vichochoro vya ukwamani ingekuwaje?si bora pale kidogo,just imagine tule mama wa kizanzobari angewezaje kusurvive mule vichochoroni.
 
Wakuu huu msiba mbona naona familia ya Mwinyi umeubeba sana? Mke wa rais Mwinyi alikua msibani siku zote na siku ya mazishi rais Mwinyi na yeye alikuwepo, kuna anayejua chochote?
 
Wakuu huu msiba mbona naona familia ya Mwinyi umeubeba sana? Mke wa rais Mwinyi alikua msibani siku zote na siku ya mazishi rais Mwinyi na yeye alikuwepo, kuna anayejua chochote
Mrs prizdaa ni mtoto wa dada yake onyango.
 
Back
Top Bottom