Tasnia ya sanaa ya maigizo nchini Tanzania imegubikwa na simanzi kufuatia taarifa za kifo cha muigizaji Mkongwe Issa Joseph maarufu Mzee Onyango.
Mzee Onyango alikuwa miongoni mwa wasanii waliotoa mchango mkubwa katika ukuaji wa maigizo ya Tanzania kupitia vipaji vyake vya uigizaji, vichekesho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.