Mwigamba: Baada ya Zitto ni Dr. Slaa

Wana jamii kitendo cha kumuweka pembeni Mheshimiwa Dr Slaa aliyekijenga chama na kupa wafuasi wengi na hatimae kumuweka pembeni asigombee Urais inaweza kulinganishwa na sawa na Dr SLAA KULEA MIMBA YA BABA MWINGINE, yaani sawa na Dr. Slaa Kulea mimba ya dada aliyepewa na LOWASA. ukweli inauma saana, POLE SANA DR SLAA,
 
Hizi ni Lugha za kuudhi yafaa ufungiwe mwaka usione jf kabisa.
 
msitaje jina la lowasa maana nakumbuka ule mkataba wa richmond unavyoitesa taifa??
 

Wewe upo Nchi gani? Kwani haupo Tanzania? Yaani haujui kuwa Slaa na Lipumba wamenunuliwa na Membe kwa kutumia mapesa ya Marehemu Gadafi ili kumkomoa Lowasa ? Madalali wa hiyo kazi walikuwa Nape Makonda na mpambe wa Membe anayeitwa Jack Gotham, hawa ndiyo walitumika kumrubuni slaa mpaka kaamua kuchukua pesa na kujiweka pembeni mwenyewe.
 
msitaje jina la lowasa maana nakumbuka ule mkataba wa richmond unavyoitesa taifa??

Mkataba upi? Richmond ipi ya Lowasa? Kaa ukijua kuwa Richmond ni ya baba yako JK , lowasa hahusiki na Richmond keshasema Ukweli kuwa mwenye Richmond ni JK sasa ni jukumu lako kumuuliza huyo mmiliki wa Richmond mwenyewe acha kumhusisha Lowasa na miladi ya jk.
 

siongei sana ... hapo vipi
 

Attachments

  • 1440151194191.jpg
    49.4 KB · Views: 186

mkuu hili jukwaa wanapita watu wazima lakini
 
Mbowe asipokuwa makini mwisho wa siku atabaki yeye na Joyce Mukya tu ndani ya CHADEMA

Waliobaki wote wamelishwa Yamini hawanunuliki tena, wewe makonda nenda Dubai ukapake Rangi kale kajumba ulikonunua huko ili ikimbilie pindi Ukawa wakiingia ikulu, hamchoki kumchuna Membe? Hamchoki kuichuna CCM? Hamchoki kuwachuna Wahindi? Serikali ya China si imewapa pesa Nyingi kwa Ajili ya Kampeni zimeenda wapi? au wewe Makonda na Nape mmezipiga tena kwa kisingizio cha kwenda kuibomoa Ukawa? Membe karibia atamaliza yale mapesa ya Marehemu Gadafi na laana ya Marehemu balozi wa libya imeanza kumwandama sana amekonda sana hapati Usingizi baada ya kugundua mmekula pesa zake na bado Lowasa yupo juu huku Ukawa ikiimarika zaidi.
 
mkuu hili jukwaa wanapita watu wazima lakini

Nani kakuambia watu wazima ndiyo wenye busara? Mbona Slaa na Lipumba ni wazee lakini wamerubuniwa na Makonda kijana Mdogo tu.
 
mkuu tafadhari mtoe mzee wetu dr slaa kwenye huo upuuzi...huyo mwingine siwezi msemea
 

Kweli UWONGO hupanda tarattibu na UKWELI hupanda kwa ngazi..........................Cc Mzee Mwanakijiji
 
Last edited by a moderator:

Wewe nawe hajitambui kabisa. Mkamatwa na ngozi ndiye mwizi. So atawataja wezi zenzake ambayo alishirikiana nao.
Hapo naona ameanza. Na bado. Kuhusika kwa JK hakumfanyi yeye awe msafi na kutohusika na Richmond. Inaonyesha tu jinsi ambavyo hana maadili na hastahili kuaminiwa na Watanzania. Angekuwa Anajitambu angestep down on the spot Baadae ya JK kushinikiza mkataba wa Richmond. Wewe unOna ujinga unafanyika na wewe una suppot baada ya kuumbuka unasema eti mheshimiwa alilazimisha. Ulikuwa wapi kuyasema hayo zamani? Unasubiri mambo yanakuwa magumu ndo unasema eti sihusiki. Nyie wote wezi. Low._ass na Boss wako WA zamani
 
mkuu tafadhari mtoe mzee wetu dr slaa kwenye huo upuuzi...huyo mwingine siwezi msemea

Hata Kama umeamua kukataa Slaa hakurubuniwa basi ikubali hii sasa kule Chadema makao makuu slaa kaacha Deni anadaiwa million 1000 alijikopesha hizo pesa za ruzuku Kienyeji tu pia kuna pesa nyingi za chama kazipiga kijanja janja wanataka maelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…