Heheee....Niliyo mwanawasu!. Naona wataka kumvalia mtu miwani ya mbao bana!.
Umewekwa reserve... Ngoja mchezaji kiungo aumie. Akiwa majeruhi, wa reserve ndio anachezeshwa...
Duuuuu kaka galz ni kama uzuriiiiiii wa JENEZA nje limepambwa vizuriii kumbe ndani lina MAITII utamuhangaikiaaa miez yote unakuja dumu naye wiki acha zako mapenzi ULAYA bongo hapa BIASHARA tema naeeeeee oooh usisahau kuwa MAPENZI YA bongo ni kima UMEME wa tanesco so GENERATOR NI MUHIMU kama vipi TAFUTA GENERATOR kwanza unavo subiri umeme wa TANESCO.....hebu temanaaaaa na huyooo anajiona keki kusumbua miezi yote hyo lazima atakuwa mshamba wa mapenzi dem wa kweli na anaye jua mapenzi huwa anachukua cku moja au mbl kuku bali sio huyooo
Duh... Bado sana mkuu, kuna mtu kafukuzia huu mwaka wa 3 sasa ila hajakata tamaa mpaka namuonea huruma. Ngoja siku moja nije nivae miwani ya mbao nimpe....
Habari wana MMU.
Kuna binti nimetokea kumpenda sana ila tatizo ni kwamba hataki kukubali ombi langu la kuwa na mpenzi wangu.
Mwezi wa saba sasa umetimia tangu nianze kumfuatilia, na kuna wavulana wa kila aina wanamfuatilia ila wanagonga mwamba, tena yeye mvulana akiingiia kwa gia ya mkwanja hata namba yke inablokiwa.
Mimi kila sku huniambia kuwa ananifikiria, nifanyeje wadau maana binti nampenda kutoka moyoni.
Naomb ushauri wako tafadhali.
Vipi mpaka mwaka huu bado??Habari wana MMU.
Kuna binti nimetokea kumpenda sana ila tatizo ni kwamba hataki kukubali ombi langu la kuwa na mpenzi wangu.
Mwezi wa saba sasa umetimia tangu nianze kumfuatilia, na kuna wavulana wa kila aina wanamfuatilia ila wanagonga mwamba, tena yeye mvulana akiingiia kwa gia ya mkwanja hata namba yke inablokiwa.
Mimi kila sku huniambia kuwa ananifikiria, nifanyeje wadau maana binti nampenda kutoka moyoni.
Naomb ushauri wako tafadhali.
big
[emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]we jua tu hivo wanawake hawatoagi jibu direct kuwa "nimekubali"...chek chek na swagga zako!!!
View attachment 193402