Mwezi Novemba 2022 kuna nini?

9plus4

Member
Jun 24, 2022
85
206
Hivi karibuni nimekuwa added kwenye ma group ya harusi na sendoff yapatayo kumi na wote hawa wakitarajia kufunga ndoa mwezi wa 11 mwaka huu.

Nimeshangaa tu kuona mwezi wa 11 mwaka huu kutakuwa na harusi nyingi sana tofauti na miezi mingine.

Yani kwa makadirio ya haraka haraka nikisema niwachangie wote hakika sio chini ya 500,000/ itatumika ku accomodate hizi harusi.
 
Watu wanachumbiana mwezi wa pili michango ya harusi inakusanywa miezi mitano kamati zinakaa mwezi mmoja

Anyway nina swali kama mwisho wa wiki tunasema weekend je mwisho wa mwaka ni mwakaend au?
 
Tena hizi harus zenye mbwembwe ndio huwa hawachelewagi ku break
sijui kwanini....ni kama vile maharusi wakifungua shampeni shetani nae anafungua yake.
kuna harusi moja ilikua matata sana ndani ya ukumbi bi harusi alivaa shela mbili, yani kakaa masaa kadhaa akatoka kwenda kuchange ile ndoa ilidumu kwa wiki 2 tu. Bi harusi akarudi kwake bwana harusi akarudi kwao.
 
Sababu ni nyingi sana, wengine pressure ya wazazi, anaona yeye anachangia wengine anaamua kumfosi na wa kwake aoe/aolewe wakati mtoto bado hajawa tyr
 
Huu mwaka ndoa zimekuwa nyingi naona..
Malaika aliyeshikilia kitengo anaupiga mwingi sana
Kati ya hizo ndoa nyingi mwaka huu naomba bhasi na ndoa yetu tuifunge/tufunge mwaka huu mwezi wa kumi na moja tarehe kumi na tano......
 
Wasimbe nawaona hapo juu mnawaombea wenzenu mabaya. Wewe kama hujaolewa umezalishwa na hakuna mwanaume mwenye muda na wewe tulia hakuna haja ya kuwaombea wenzako mabaya.
 
Back
Top Bottom