xxxxxxSoko la Noah litadoda sana....xxxx
Napitaaa...
Noah ndo nini? Shkh
Noah ndo nini? Shkh
Kitimoto
watu hapa hujichumia dhambi kwa dhana kua nguruwe ikifika mwezi huu haliwi kwakua sisi waislam tupo kwenye funga wakiwa na maana kua waislam ndo wala nguruwe.hii nidhambi kubwa kimsingi mnyama huyu ni haram kumla na sikwa waislam pekee bali hakuna dini iliyoruhusu ngurue kuliwa?mwezi huu nguruwe atadoda kwakua hata asiekua muislam anaugopa.nakama yupo anayejiita muislam alafu anakula ngurue huyu hatafunga nakama yupo asijihesabie kua ni muislam?uislam ni unyenyekevu kwamuumba ramadhani njema tujitahd kutekeleza ibada
Ramadhani kareeem kwako mkorokigoli,halati88 na wengine wooooote.
Waleykum salaam
asante kwa taarifa nawe maandalizi mema Arovera
samahanini waislam wenzangu, hivi mwezi ushaandama?
Mwezi umeonekana Yemen na kwenye maeneo ya Isiyolo na anahojiwa mtu Radio iman Tz, na Kenya sheikh aliyeona anaitwa Sheikh Abdulazizi, ni mdiri wa madrasa ya al salah, na mwingine ni Abdullah Is-haka, 0720255517, na Abdullahi karam, 0721763704, hawa ni wa Kenya masjid kambi garva, Salat 0702085623 unaweza ongea na hawa waliouona maeneo ya Isiyolo. Morogoro tarawehe inaswaliwa hivi sasa Masjid Haqi.
Ramadhan Kareem.
Kwa wote watakaojaliwa kufunga huu mwezi mtukufu nawatakia Ramadhan Kareem.