ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,744
hivi maana halisi ya ulokole au kuokoka???
ulokole ni neno la mitaani ila kuokoka ni kuponywa kutoka kwenye hali ya kuangamia,mfano mtu anaweza kuokolewa mikononi mwa wabakaji.Hivyo wanadamu wote tumezaliwa katika dhambi na hukumu ya moto wa milele ilikuwa inatusubiri,hivyo Yesu Kristo wa Nazarethi akafa msalabani ili kila atakaye mwamini aokolewe na hukumu hiyo.