Mwewe wa Clouds TV anatumika kisiasa?

Mwewe wa Clouds TV anatumika kisiasa?

Tatizo MA-UKAWA hampendi kukosolewa..mnapenda kusifiwa..au kuona MA-CCM yakikosolewa
 
Balance ni muhimu vp mwewe usiku anatembea,? au anamwogopa Bundi ?
 
Anatamani apigiwe simu na mkulu au apewe ukuu wa wilaya.
 
Pamoja na kuwa na maudhui nzuri katika kukumbusha jamii husika juu ya mapungufu fulani, kipengele cha mwewe cha clouds TV kimetokea kuripoti MFULULIZO mapungufu katika halmashauri zinazoongozwa na UKAWA.

Je, mwewe anatumika kisiasa?

Nawasilisha
Toa mfano wa hizo halmashauri na mapungufu yake
 
Pamoja na kuwa na maudhui nzuri katika kukumbusha jamii husika juu ya mapungufu fulani, kipengele cha mwewe cha clouds TV kimetokea kuripoti MFULULIZO mapungufu katika halmashauri zinazoongozwa na UKAWA.

Je, mwewe anatumika kisiasa?

Nawasilisha
Kwani hayo mapungufu ni ya uongo?

Mnalia serikali haitaki kukosolewa wakati nyie ndio wa Kwanza kuficha mapungufu yenu.!
 
Hicho kimedia si ndo kile kinachotangazaga mambo ya mashoga zao? Si ndo kile kinachotumikaga na yule mbulumundu mwenye hips kubwa kutolea matamko yake? Tuwavumilie tu.
 
Mpuuzeni huyo mwewe. Uongo hupanda lift ukweli hutumia ngazi lakini hufika unapotakiwa

Kila mtu anajikomba watanzania wamelaaniwa

!
!
Wanajikomba hadi wanakera aisee. Huyo mwewe ataruka ataishia kwa Makonda.

Mwewe fala huyo

Mwewe Boya kabisa huyo!

Ovaa

Anatamani apigiwe simu na mkulu au apewe ukuu wa wilaya.
Ndio tatizo la UKAWA hamtaki kukosolewa.....mnatofauti gani Na serikali ya CCM.?
 
Kwani hilo tatizo halipo? Kama kuna kero ni muhimu kuonyeshwa hata kama zinaongozwa na malaika.
 
Wale FIESTA MEDIA groups nao hua mnahangaika nao? Ni wa kupuuzwa tu wale, kazi yao kuu ni kutetea mashoga na Kupromote fiesta.
 
Back
Top Bottom