Mwewe wa Clouds TV anatumika kisiasa?

Mwewe wa Clouds TV anatumika kisiasa?

Leo mwewe yupo barabara ya kuelekea muhimbili hosp....ina mashimooo
 
Kila mtu anajikomba watanzania wamelaaniwa
Mi ni mtanzania lakini sijalaaniwa. Waliolaaniwa labda ni wale wanaojiona malaika. Hawakosei. Na wanapokosea hupenda wapigiwe makofi. Ukionesha makosa yao,utaitwa msaliti au umetumwa
 
Back
Top Bottom