Wapo wengi sana. Lazima utampata tu demu wa kiarabu.kwa raha zao..Im so against racism, each person can marry to his own preference..kama mimi, napenda sana mademu wa waarab, nikipata mmoja Insha'Allah ntamuweka lock ndani kabisa.
Wapo wengi sana. Lazima utampata tu demu wa kiarabu.
Shinyanga na Tabora kuna watoto wa kiarabu wengi sana na wengine wamechanganya na damu ya kisukuma wamekaa mkao mzuri sana. Ukifika Tz tembelea maeneo hayo. Kuwa-approach ni simple sana. Ukini-PM nitakufundisha kwa fee ndogo sana.nikijaga bongo siwaonagi mbona, nawaonaga mademu kitanga..alafu approaching her is the difficult part, yaani sasa mfano umemuona kwenye mgahawa, we utaanzaje kumuapproach?
kwa fee tena hahah? tabora na shinyanga huwa napitaga tu wakati naenda kijijini..si nasikiaga waarab wote huko waliondoka wakaenda bongo?Shinyanga na Tabora kuna watoto wa kiarabu wengi sana na wengine wamechanganya na damu ya kisukuma wamekaa mkao mzuri sana. Ukifika Tz tembelea maeneo hayo. Kuwa-approach ni simple sana. Ukini-PM nitakufundisha kwa fee ndogo sana.
kwa raha zao..Im so against racism, each person can marry to his own preference..kama mimi, napenda sana mademu wa waarab, nikipata mmoja Insha'Allah ntamuweka lock ndani kabisa.
nah..thats his own taste..kama mimi mademu wa kibongo weusi nimemalizana nao..sitaki tena..thats my own taste,it reflects my choices kwa sababu kila mtu ana preference yake. Racism itakuwa kama zamani ambapo nchi nyingi za ulaya ziliamua kuweka ban kwenye interracial marriages,yaani hapo ni law ambayo ina directly discriminating africans.Hebu tuelimishane kidogo, akija mtu akasema sipendi kabisa mademu wa Kiafrika/weusi atakuwa ni racist au la?
uweke lock kama tatu hivi manake kwa kusepa wameshundikana. Kila la kheri.kwa raha zao..Im so against racism, each person can marry to his own preference..kama mimi, napenda sana mademu wa waarab, nikipata mmoja Insha'Allah ntamuweka lock ndani kabisa.
nah..thats his own taste..kama mimi mademu wa kibongo weusi nimemalizana nao..sitaki tena..thats my own taste,it reflects my choices kwa sababu kila mtu ana preference yake. Racism itakuwa kama zamani ambapo nchi nyingi za ulaya ziliamua kuweka ban kwenye interracial marriages,yaani hapo ni law ambayo ina directly discriminating africans.
Kwa hiyo racism mpaka iwe kwa serikali, ikiwa upande wa mtu inakuwa preference tu?
Chukulia hili:
mtu amepata siti karibu na wewe kwenye ndege na wewe ni mweusi, akasema abadilishiwe kwa sababu ana prefer kukaa na mtu mweupe, hiyo utaiita racism au preference pia?
Au mtu mgahawani akatae kuhudumiwa na mtu mweusi kwa sababu yeye ana prefer kuhudumiwa na mtu mweupe, hiyo ni racism au preference?
Asante..Ushawahi kuwaga na mmoja nn?uweke lock kama tatu hivi manake kwa kusepa wameshundikana. Kila la kheri.
Nah racism sio mpaka serikali tu, hata mtu anaweza kuwa racist, but unajua ukizizungumzia mambo ya kuoa, then inakuja kwa preference ya kila mtu, huo mifano uliyotoa doesnt match with the topic that is preference of marriage. If someone doesnt want to get married to a black african thats alright because it only affects him personally, it doesnt affect any other person, sio kwamba analazimishwa kuoa mwafrika..ni yeye mwenyewe atajijua lakini unajua mifano uliyotoa basi his racism inamuaffect huyo kwenye mgahawa na kwenye ndege which is illegal..mambo ya civil liberties yana limit, you can enjoy your liberty but moja ya limit ni kutodiscriminate against any other person.
Hiyo ya kuoa ni preference iliyokuwa based kwenye misingi ya race/skin color ....ambao ni msingi wa ubaguzi
Mtu anaeweza kujenga principles za preference zake kwa misingi ya race ni rahisi kuendeleza racism pale ambapo hadhani kuwa sheria inaweza kumchukulia hatua
Mtu anae prefer race fulani akifika Tanzania ambapo hakuna sheria zinazofanya kazi ataajiri watu wa race fulani tu kwa sababu ana wa prefer kufanya nao kazi kuliko wengine
Mtu anaejenga preferences zake kwa misingi ya race ana chembe chembe za kibaguzi, akipata fursa ataitumia
sioni kwa perspective yako, me naona kama kapenda wanawake wengine, thats up to him, huwezi lazimisha apende waafrika, huko sasa utakuwa unaingilia his private life. Kila mtu inabidi aweke his private life kivyake, asimsumbue mtu, asisumbuliwe pia.
Unajua sijui kuhusu sheria za bongo sana kuhusu mambo ya race na employees rights etc, lakini nina uhakika ipo, ni kiasi tu cha kufuatilia, kama mtu atakuwa anatoa au kufukuza kazi kwa misingi ya rangi, basi unaweza ukaamwanzishia case mahakamani.
Watu wengi ni racist, lakini wanajua kuwa sheria inawabana na itachukua mkondo wake kama akianza kubagua watu wengine, wengi huwa wanaiweka moyoni tu na kuishia hapo.
Bila ya shaka racism inaanza kwenye preferences.
Sio suala la mtu kulazimishwa kumpenda mwafrika bali ni kuangalia chanzo cha mtu kuwa na preferences ambazo zinafungamana na race.
Zinaanzaje?
Na jee kama atajua sheria haitambana (Tanzania case in point), preferences zake zitafikia wapi?
Msingi wa racism si matter ya kusema huyu jamaa anapenda wazungu tu basi yeye ni mbaguzi, la hasha..msingi unaenda chini ya hapo, unakuta kama wewe kuwa hataki kusoma na weusi, hawataki weusi nchini mwake, hataki mwanae aoelewe na mweusi etc etc..you have to go deeper and see if he is really racist..yaani kwa mtazamo wako kama ni wa uhakika basi hata mimi ni racist maana napenda zaidi kuwa na demu mwaarabu na si mweusi, sasa how can i be racist wakati mm ni mweusi tayari? sina hata chembe ya ubaguzi ndani mwangu, nimekuwa tu na mademu weusi na kuona sasa basi, nataka aina nyingine.
Inabidi uelewe kuwa kila mtu ana preference yake..mtu anaweza akasema sitaki kuoa mweusi lkn hana hata chembe ya ubaguzi, its just his own taste