Mwenzi wangu ana mbweche kubwa

Status
Not open for further replies.
Mkuu achana nao wakikua watajua kuwa kuna mada za kuongea openly na mada ambazo inabidi uwe na msiri wako unayemwamini ambaye unaweza kuketi nae ukamweleza na akakupa ushauri
Itashangaza siku unaamka unakutana na mada Tulizo: Jana nimekula mwanamke wa pale Ohio watu watashika midomo

Nimeshawahi kuona mada kama hizo hapa.. Sikatai kuna umri wa kubalehe ambako viungo vyote vya mwili vinabalehe hadi akili.. hivyo kwa kijana wa kiume kutaja tu sehemu ya siri ya mwanamke ni pleasure tosha...

Vitu kama hivyo wanatakiwa wakaongee kwenye mabweni yao.. Siyo JF au MMU hapa ni wider forum..

Siri za mwenzi wako unakuja kuzianika huku mtandaoni

kwa nini usingekaa nae ukamuuliza ni kitu gani alicho nacho kabla ya kuja kuainika utupu wa mwenzi wako hapa

Na umejuaje kama wewe ndio una kakitu kadogo sio yeye

Ahhhh halafu duh nimebaki hoi na hilo jina

AU NI WEWE.

Nimeshawahi kuona mada kama hizo hapa.. Sikatai kuna umri wa kubalehe ambako viungo vyote vya mwili vinabalehe hadi akili.. hivyo kwa kijana wa kiume kutaja tu sehemu ya siri ya mwanamke ni pleasure tosha...

Vitu kama hivyo wanatakiwa wakaongee kwenye mabweni yao.. Siyo JF au MMU hapa ni wider forum..

Mkuu nakubaliana na wewe
Ila wana muda wao wakijua kuwa kuna sehem za kuwa wazi kihivyo na kuna mambo ya kuficha na kuttotumia maneno makali wataacha tuu
Ila sio ustaraabu kuanika mambo ya wenza wazi kiasi hicho na tena mambo ambayo yanaongeleka

Naamimi kila kitu kina namna ya utumiaji

Matumizi tuu mkuu na utaona kila kitu kinaenda sawa

Hapo sasa ndio umenena lakini sio kukataa kuwa hakuna wanawake,wenye maumbile makubwa hapo ndipo nilipokataa,watu wote hatulingani kuna warefu,wafupi,wembamba,wanene nk nadhani umenielewa mkuu.

Huyu kijana ni Great Thinker wa ukweli kabuni jina "mbweche", kuna nanai alikuwa anajuwa ni nini hicho kabla hajasoma hii nyuzi? Na kaiweka kiaina hii post ambapo hata asiyejuwa "mbweche" ni nini ameshaijuwa ni nini.

Haya kijana hongera zako. Kuhusu hayo mapumba sijawahi sikia, nimewahi kusikia kuhusu machicha. Umaanisha pumba kama za mahindi au mpunga? sio machicha lakini.

Hukutesti zari kabla?

nilitesti ila sikuwa na uzoefu wa mambo haya nilipomwuliza akniambia kuwa ni bao langu kumbe alikuwa ananidanganya, nilipogundua nikataka kumwacha akalia hadi nikamwonea huruma

Hapo sasa ndio umenena lakini sio kukataa kuwa hakuna wanawake,wenye maumbile makubwa hapo ndipo nilipokataa,watu wote hatulingani kuna warefu,wafupi,wembamba,wanene nk nadhani umenielewa mkuu.

Mkuu tatizo sio kukataa ila tatizo ni the way mtu alivyoipresent as if yeye yuko perfect hana tatizo na tatizo linawezekana liko kwake mkuu

Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom