Haya yote uliyouliza ni changamoto kubwa sana mkishakuwa na watoto nje ya ndoan,ngoja tusubiri wenye uelewa wa mambo haya waje kutujuza.Habari wanajamvi,
Kutokana na hali ya uwepo wa watoto wengi wa nje ya ndoa hivi karibuni, nimeona niulize maswali yafuatayo humu jamvini ili tupate maoni, ushauri na uzoefu juu ya suala hili.
- Je ni busara kwa mtu kuoa au kuolewa na mtu aliyezaa na mtu mwingine?
- Je ukioa au kuolewa naye mawasiliano ya hao wazazi juu ya mtoto wao yanatakiwa kuwaje?
- Je ni sahihi mtoto kuchukuliwa ili akalelewe na baba/mama wa kambo?
- Kama atachukuliwa kulelewa na baba/mama wa kambo, je mama/baba mtoto aruhusiwe kuja kumuona mtoto?
- Na vipi mwezi ambaye anakuja kuzaa nje baada ya ndoa kufungwa? Je mtoto aletwe na kulelewa na watoto wengine au aachwe kwa huyo hawara?
- Je kama mwenzi amezaa nje ya ndoa kuna haja ya kuendelea kufanya mipango ya maendeleo pamoja au ni bora kila mtu ajijenge ki mpango wake?
- Ni mazingira yapi mazuri yatawezesha ndoa iendelee kustawi ili hali kuna mtoto wa nje ya ndoa?
salt umezaa nje ya ndoa?Wewe tu na roho yako, kama waweza kulea mtoto wa wenzio kaa nae kama huwezi muweke wazi mapemaa kuwa huwezi kukaa na huyo mtoto ili achague kusuka au kunyoa....
Mkuu lakini wanaume wengi wanachagua kutuficha badala ya kutueleza ukweli kabla,Hayo yote ni swala la uwazi na makubaliano baina yenu wawili mkimtanguliza MUNGU, tena iwe ni mapema tu baada ya kukubaliana kuanza mahusiano yenu.
Umeweka utaratibu gani wa mama wa mtoto kumuona mwanae?..Mkuu lakini wanaume wengi wanachagua kutuficha badala ya kutueleza ukweli kabla,
Mfano mimi nilifunga ndoa ya kikristo sijui km kuna handsome baby boy out there... Mwanangu akiwa na miezi 7 tumboni niligundua tena kwa kukuta SMS yy bado hakuwa tayari kuniambia.
Nilichukua jukumu la kutoa onyo Kali na kumsamehe na pia tumemchukua kutoka kwa mamaye baada ya kutetereka sana kiafya. Tumeamua kuishi nae jumla.
Changamoto ni kwamba mama yaje anataka *eti aje nyumbani kumuona* msimamo wangu ni kwamba akija kumuona mwanae mahali ninapoishi aondoke nae maana sitapenda kuendelea kumuona machoni pangu..
Samahani km nitakuwa nimemkwaza yeyote kwa maneno yangu.
Again am sorry.
Hapana asee, mbona umeuliza hivo? Sitamani hata watoto wa baba tofauti itokee bahati mbaya sanasalt umezaa nje ya ndoa?
Oh pole sana dear...I can feel it!Mkuu lakini wanaume wengi wanachagua kutuficha badala ya kutueleza ukweli kabla,
Mfano mimi nilifunga ndoa ya kikristo sijui km kuna handsome baby boy out there... Mwanangu akiwa na miezi 7 tumboni niligundua tena kwa kukuta SMS yy bado hakuwa tayari kuniambia.
Nilichukua jukumu la kutoa onyo Kali na kumsamehe na pia tumemchukua kutoka kwa mamaye baada ya kutetereka sana kiafya. Tumeamua kuishi nae jumla.
Changamoto ni kwamba mama yaje anataka *eti aje nyumbani kumuona* msimamo wangu ni kwamba akija kumuona mwanae mahali ninapoishi aondoke nae maana sitapenda kuendelea kumuona machoni pangu..
Samahani km nitakuwa nimemkwaza yeyote kwa maneno yangu.
Again am sorry.
Aliyesema mtoto ni tatizo ni nani?Kwani mtoto anatatizo gani jamani??
Kweli, kama unaweza kuepuka ni vizuri, ikishindikana basi unabeba msalaba wako. nimeuliza kama vile niliona kama vile mkono as long as wameridhianaHapana asee, mbona umeuliza hivo?
Sitamani hata watoto wa baba tofauti itokee bahati mbaya sana
Anapiga simu kwa mzazi mwenzie kisha anaagiza usafiri ( bodaboda ( na kama ana hamu nae sana anamsubiria likizo yote akakae nae hadi siku mbili kbl ya shule kufunguliwa...!Umeweka utaratibu gani wa mama wa mtoto kumuona mwanae?..
InategemeaHabari wanajamvi,
Kutokana na hali ya uwepo wa watoto wengi wa nje ya ndoa hivi karibuni, nimeona niulize maswali yafuatayo humu jamvini ili tupate maoni, ushauri na uzoefu juu ya suala hili.
- Je ni busara kwa mtu kuoa au kuolewa na mtu aliyezaa na mtu mwingine?
- Je ukioa au kuolewa naye mawasiliano ya hao wazazi juu ya mtoto wao yanatakiwa kuwaje?
- Je ni sahihi mtoto kuchukuliwa ili akalelewe na baba/mama wa kambo?
- Kama atachukuliwa kulelewa na baba/mama wa kambo, je mama/baba mtoto aruhusiwe kuja kumuona mtoto?
- Na vipi mwezi ambaye anakuja kuzaa nje baada ya ndoa kufungwa? Je mtoto aletwe na kulelewa na watoto wengine au aachwe kwa huyo hawara?
- Je kama mwenzi amezaa nje ya ndoa kuna haja ya kuendelea kufanya mipango ya maendeleo pamoja au ni bora kila mtu ajijenge ki mpango wake?
- Ni mazingira yapi mazuri yatawezesha ndoa iendelee kustawi ili hali kuna mtoto wa nje ya ndoa?
Mkuu lakini wanaume wengi wanachagua kutuficha badala ya kutueleza ukweli kabla,