Mwenzetu PRICE yu taabani...

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
496
Reaction score
379
Mwanajamii mwenzetu Maarufu PRICE ana msongo wa mawazo na anahisi anaweza kufa kwa pressure muda wowote.

Anaomba mawasiliano yenu so mum-pm ili aweze kuwashirikisha mkasa mzima.

Asanteni.
 
na bado me ndo nimemtenda huyo,, nimemtumia ipasavyo saizi niko na mchepuko mwingine kutoka Rwanda
 
Mwanajamii mwenzetu Maarufu PRICE ana msongo wa mawazo na anahisi anaweza kufa kwa pressure muda wowote.

Anaomba mawasiliano yenu so mum-pm ili aweze kuwashirikisha mkasa mzima.

Asanteni.

Yuko taabani anaomba mawasiliano badala ya kutubu!!
 
Stress za nini tena jamani mapenzi au maisha tu? Pole yake
 
Taabani anaomba mawasiliano na binadamu!mwambie aombe mawasiliano ya peponi.
 
aweke hapa,sasa huko pm atatujibu wote au magumashi tu.
 
Sasa haoni kama anahitaji kupumzika na kujitathmini alikosea wapi na kutubu???? wewe tena unaomba watu wamjazie pm!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…