Jux kayakanyaga huko! Waja wanauliza kwanini kakonda sana?

Jux kayakanyaga huko! Waja wanauliza kwanini kakonda sana?

Kimapenzi wanawake wa Nigeria wanapenda kutawala na kutoa amri, yaani awe juu ya mwanamume, anauwezo wa kukwambia simtaki mama yako aje hapa na utafanya hivyo. Wabinafsi wanaojipenda sana wenyewe, tena ukimpata mwenye pesa ndio ujue umekwishaaaaa. Wanakabaaaa balaaa, hupati muda wa kuwa peke yako lazima ajue uko wap, na nani na unafanya nini. Simu yako ni yake!!!
Na simu yake pia si yako
 
Jamani 🤣🤣 kwa hiyo mtu kama solumeti wake yupo ng'ambo ya mto asivuke
Solumeti hiyo kwiyooo 😹😹
Wavuke waende wapi?
Sisi ndio solumeti wao wa toka utotoni tumecheza wote kombolela na kibaba baba

Bora kupekeleshwa na mbongo mwenzio kuliko mtu wa mataifa mengine..! Unakuwa mtumwa hakuna wa kukutetea huko..!!
 
Hivi ni mtu gani mwingine maarufu aliyeoa nje hadi leo penzi liko imara?
 
Inasikitisha kwa kweli...Ameyakanyaga....Na Mama yake Mkwe yupo kwenye NetFlix - The Real Housewives of Lagos.
Kuna watu wanadai huyo mamkwe Hana hata cha utajiri wala nini, ni wa wamama wa mjini janja janja!

Wayoruba wote wanajifanyaga matajiri

Juma atakoma asee, hata kama ana ile biashara ya chakula ya nyoka, pesa itaisha tu,🤔
 
Hiyo ni afya nzuri kwa binadamu ,sema wamatumbi tumekariri kiriba tumbo ndio afya njema
Toka lini jux akawa na kitambi au hata kunenepa?

Ile sio afya asee, umeona shingo na mdomo, na mda wote ana ulamba lamba😂😂😂...

Kuna comment imenichekesha insta eti " sasa hivi jux akitaka kulamba mdomo mpaka apige mluzi" Watu wana maneno balaa
 
Labda kwa sababu simjui mkuu
Tatizo anaishi kwenye kivuli cha Vanessa ,hakuweza kuishi maisha yake tena baada ya kuachana na Vee...ukiweka na maneno ya shombo ya wabongo kuhusu kukimbiwa, akaona na yeye atafute mnigeria...wale watu sio asee

Hata huyo Vanessa anaigiza tu humo na huyo mnigeria, ni kanateseka balaa🤣🤣🤣
 
Tatizo anaishi kwenye kivuli cha Vanessa ,hakuweza kuishi maisha yake tena baada ya kuachana na Vee...ukiweka na maneno ya shombo ya wabongo kuhusu kukimbiwa, akaona na yeye atafute mnigeria...wale watu sio asee

Hata huyo Vanessa anaigiza Tu humo na huyo mnigeria, ni kanateseka balaa🤣🤣🤣
Kwenye pesa wanaigeria huwa hawachekeshi kwenye kutumia😅
 
Back
Top Bottom