Jux kayakanyaga huko! Waja wanauliza kwanini kakonda sana?

Jux kayakanyaga huko! Waja wanauliza kwanini kakonda sana?

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
1,773
Reaction score
3,878
Mitandaoni kumeibuka mjadala kuhusu muonekano wa msanii wa Tanzania, Juma Jux, baada ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kudai kuwa msanii huyo amepungua uzito kwa kiasi kikubwa.

Baadhi ya machapisho yameambatana na picha na video zake za hivi karibuni, huku watumiaji wakijiuliza iwapo mabadiliko hayo ya mwonekano yanaashiria kuwa Jux ana tatizo la kiafya.

765198554_18607148155060899_7789808255306969755_n.jpg


762864096_18607148233060899_8033878502867992002_n.jpg


764457145_18607148224060899_323783700831812422_n.jpg
 
Wanigeria sio watu wazuri wake wanapenda starehe alafu sherehe kila siku hadi najiulizaga oesa anatoa nani sijui mwamba inaonekana alimchukua yule binti ili amkomoe vanesa tu
Kimapenzi wanawake wa Nigeria wanapenda kutawala na kutoa amri, yaani awe juu ya mwanamume, anauwezo wa kukwambia simtaki mama yako aje hapa na utafanya hivyo. Wabinafsi wanaojipenda sana wenyewe, tena ukimpata mwenye pesa ndio ujue umekwishaaaaa. Wanakabaaaa balaaa, hupati muda wa kuwa peke yako lazima ajue uko wap, na nani na unafanya nini. Simu yako ni yake!!!
 
Back
Top Bottom