Your cell number has won you £850,000 in ongoing 2017 cocacola mobile draw in UK, to claim; send your name, age&number to: cocaukpa@outlook.com. Hii msg imetumwa leo kwenye simu yangu kutoka namba 0623 576932.
!. Kwani kuna shindano lolote ulicheza? Maana huwezi kushinda chochote ambacho hukushindana!
2.lazma email ya coca ingekuwa .....@cocacola sio hao outlook
3.Hao ni matapeli wa mtandao, nia yao ni kutumia particulars zako ili watengeneze crdt card au chochote cha namna hio ili wafanye manunuzi yyte. Hizo maelezo ukiwapa watakuambia uwape na bank account number ili wakuwekee hela! Kumbe wanataka account numba yako ili ifanyie malipo katika ishu zao!