Mwenzenu hii mimba.......!

bht ...............sio kapata mimba tu! mimba inamtaka baba mtoto saa zote na jina lishawekwa hadharani kuwa litakuwa la mkwe.

halo haloooooooo

G ngoja nipinduke..............hii mada ndo kwanza nimeiona mchana huu
 
kwani ilikuwa siri? si alikuja kutoa taarifa hapa!
 
hahaaa G nawee khaaa!!!

ooh yeah alikuja kumrusha roho mwenzie hapa....(ila walikuwa wanfanya kw aheshima alisema mwenyewe)

sasa huyo baba huko kwake si ndo basi tena mana Da Sophy anamtaka asijcheze mbali ( na maanisha mimba ina demand hivyo)
 
biggy na nani?? yule mume wa mtu walokuwa wanafanya naye kwa siri??
Infidelezesheni imefanywa yango kwa yango kitu kikaingia mpaka ikulu ndogo. Sasa tunasubiri kuletewa habari ya mtoto kuzaliwa. Namwonea huruma sana huyu mke wa infideleta. Yaani hebu vaa mawani hapa:

The Following User Says Thank You to Da Sophy For This Useful Post:
FirstLady1 (21st July 2010)​
 
hahaaaaaaaaaaa FL1 weeeeeeeeee unajinunulia kesi shauri yako, bora ungenunua upande wa khanga ujue
 
Yango na yango = pekepeku
 
hii dunia walimwengu tunaelekea wapi????? mtu mwizi wa mapenzi ya watu bado unajitapa na unamweka Mungu katika makosa yenu, eti Mungu amenisaidia na atanisaidia hapo kwenye mahusiano yenu dada Sophy hakuna Mungu wewe shuhudia ni shetani anakusaidia
 
jamani huyu da sophy huyu? usiache kutujuza shost nn mwisho wa malumbano haya ya mume wa mtu! sasa mbona huyu mke hajibu kitu basi walau tuone the other side of the story maana hapa twaona upande wako tu!
Mom mie silumbani atakayeona nalumbana shauri zake sijamtuma hayo yanayomwasha. Ila tu nasema nimeamua kuzaa mtoto wangu kama wanawake wengine, na nina haki hiyo, na halafu ninayo haki ya kuzaa na mwanaume ninayempenda ili niweze kumfurahia mwanangu, na kwa hiyo huyu nimeridhika naye kabisa awe baba wa mwanangu kama kuna mtu kimemuuma inahuuuu?
 
Huyo ndo Da Sophy.. Ila yote hayo, huwaga yana mwisho.. na mwisho wake huwaga si mzuri. Chunga sana siku huyo bwana atakapoamka.
Mbona keshaamka siku nyingi tangu alipogundua kuwa alichooa ni digirii na si mke? Sasa kagundua mke alipo na ameamua sasa kufanya kweli, na mie katu simwangushi mume wangu ninaye huyu tu!
 
.........Jamani Da Sophy unasema huyo mwanamke mwenzako mgumba mbona ana watoto wawili tayari?Au sijui maana ya ugumba?Kama ulivyosema ana watoto 2 basi huyo si mgumba ila kaamua kuwa na watoto 2. Maisha yenyewe haya kuwa na watoto wengi wala sio deal.
 
mhh we ndio muhusika nini ,naona unatetea sana,mimi sikubaliani na haya kabisa,yana mwisho haya.

Thanks Ledwin. Yaani Binadamu sisi ni very strange beings. Hivi huwa tunajaribu kutafuta justification for improper behaviour (amoral). Halafu ambapo nasikitika ni character bashing au personal vendetta.

Her degrees, her whatever - she is the legal and lawful wife period. Atleast that should be respected.

Its quite easy to score with a married man or woman, lakini score with a single available man or woman then be proud of that...
 
Nakutakia kila la heri katika kusubiri kwako..Umeshafanya maandalizi ya awali?
 
hii dunia walimwengu tunaelekea wapi????? mtu mwizi wa mapenzi ya watu bado unajitapa na unamweka Mungu katika makosa yenu, eti Mungu amenisaidia na atanisaidia hapo kwenye mahusiano yenu dada Sophy hakuna Mungu wewe shuhudia ni shetani anakusaidia

Una maanisha nini kusema mapenzi ya watu? Kanipenda mwenyewe kwa hiyari nami nimempenda kuna ubaya gani? Kuiba ni kuchukua cha mtu, mi sijachukua cha mtu, ni penzi langu mwenyewe kanipenda karidhika nami kaona namridhisha nafaa kumzalia mtoto sasa unataka nijinyanyapae niseme ati sifai wakati mhusika mwenyewe kaniona mimi ndiye alikuwa ananihitaji siku zote. Hauniambii kitu hapa.
 
Kwa uelewa wangu mgumba ni mwanamke asiyekuwa na uwezo wa kuzaa. Hapo alipo mwenzangu yule hana tena uwezo wa kuzaa kwa hiyo ni mgumba. Na huo ugumba kajitengenezea mwenyewe kwa makusudi ati kwamba wawili alionao wanatosha basi mwenzangu akaenda kwenye huo utaalamu wa kujiharibu kizazi kwa hiyo sasa hivi hata angetaka ni hazai tena, sasa sio mgumba ni kitu gani. Nami namwambia kama hazai basi mwenzie nazaa, avute subra inshaallah wanawe watampata mdogo wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…