weeeee hawawazidi chelsea wale ni wababe na wachezaji wazuri sana hakuna mfano hapa duniani hata hao spain hawaoni ndani wewe ngoja wawapange nao utabrooo brother
ladyfurahia huyu Rutashubanyuma anatokea Katoro na Ruttashobolwa anatokea Chato
kwa hiyo hao siyo ndugu bali majina yao yanashabihiana tu
huyu huyu unayemjua wewe kwani hajakwambia kazi yake anayofanya sasa mbali na kanisa aliloanzisha au alikudanganya?
nitakuona baadaye maana hapa ameshaingia mtu fulani
mimi sijui! atakuja sema mwenyewe hapa. ladyfurahia u mzima mama?
huyo mtu bado hajatoka tu?
ameshatoka best nambie la moyoni mwako
mm ni mzima buheri wa afya hofu na mashaka ni juu yako laaziiz wangu unaasemaje best
nafurahi kusikia hujambo?
kusikia sijambo au kuniona kabisa best utakwenda kwenye msiba wa figganigga pale leo jioni au? kkwani natafuta kampani
Mwita Maranya akuona tu hapo chini unatuchungulia..
usijali nitamtaarifu yeye ana neno ondoa shaka na jambo hilo bestito
ameona wapi tena jamani kwani mm nilitoka lunch kidogo
Hata mi huwa najiuliza kuhusu hilo. unaandika sana jamani jitahidi kufupisha.
bibie wewe utakuwa mchumi, unaogopa maneno mengi