Mwenza bora anahitajika

Mwenza bora anahitajika

😂😂😂😂😂😂😂 sawa Johhana, lakini si unakumbuka Kikwete wosia wake? Za kuambiwa...
Mkuu si umeona Kuna watu wesema kuwa Wana sifa zote?.
 
joka jeusi ndiyo nani?
Ni Jokajeusi

👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇

1614874532629.png
 
aisee, ya kweli hayo?. Mana sitaki ata kuamini mkuu.
Angalia email yako, nimekutumia wasifu wangu pamoja na picha yangu.

Tutafute kabisa nyumba yenye fence , mashoga zako wasinione kabisa
 
Back
Top Bottom