Mkuu Zabron Hamis kwa sifa za Malaika Gabriel nadhani hawatawezana, yule Gabriel aliyetumwa kutoa roho ya mrembo Delilah alipoudhiwa ndiyo ashindwe kuitoa ya pujo ??
Huyu pujo level yake ni MSELA WA MANZESE tu![]()


mkuu, usinifanyie ivyo jamaniNmechelewa au sijachelewa sanaHumu wazima kbs

Oyaa mkulungwa eeh, shituka dume hili.Nmechelewa au sijachelewa sana![]()
Duuhh Dunia inamambo makubwa ,madogo na saizi ya katiOyaa mkulungwa eeh, shituka dume hili.
View attachment 1713864
Na mwanzo alikuwa anajiita pujo.
View attachment 1713868


Dume kabisa hiliDuuhh Dunia inamambo makubwa ,madogo na saizi ya kati![]()


Oyaa mkulungwa eeh, shituka dume hili.
View attachment 1713864
Na mwanzo alikuwa anajiita pujo.
View attachment 1713868



wanifurahisha wewe. Sio bure umetumwa. Yani mpk unatabiri jinsia yangu. Duh!! We noumaaaa. Kwa taarifa yako, mimi ni mdada, kujiita pujo niliamua na maamuz yang hkn ambaye anakatazwa kujiita vyovyote, na kujiita johhana pia ni maamuz yangu.