Je, hizo kesi alizofuta zilikuwa na uhalali wowote?!Labda ameanza kuwa katili kwa kuwa kaona hamna shukrani. Kawafutia kesi kina Mdude mkaanza kumtukana ndio maana kawaacha vijana wake waseme nyie ni magaidi
Mungu hujibu kila ombi tusubiri.Mwenyezi Mungu, ulie na mamlaka yote mbinguni na duniani, tunaomba umalize huu uonevu unaoendelea kwa kuwaondoa wale wote wanaohusika katika kutoa baraka zao uonevu huu uendelee pamoja na wale wote wanaosimamia utekelezaji wake.
Wale wengine walipukutika wamebaki hawa hivyo tunaomba na wao wawafuate maana hawataki kujifunza kutokana na makosa.
Tunaomba uanze na mhusika mkuu.
Sisi hatuna wa kumlilia zaidi yako maana hatuna nguvu walizonazo.
Mwenyezi MUNGU anaipenda Tanzania na anawapenda sana Watanzania..Mwenyezi Mungu, ulie na mamlaka yote mbinguni na duniani, tunaomba umalize huu uonevu unaoendelea kwa kuwaondoa wale wote wanaohusika katika kutoa baraka zao uonevu huu uendelee pamoja na wale wote wanaosimamia utekelezaji wake.
Wale wengine walipukutika wamebaki hawa hivyo tunaomba na wao wawafuate maana hawataki kujifunza kutokana na makosa.
Tunaomba uanze na mhusika mkuu.
Sisi hatuna wa kumlilia zaidi yako maana hatuna nguvu walizonazo.
Usijitoe ufahamu,wapi Rais ametajwa? Na wapi kifo kimetajwa? Sisi tunaomba hukumu kwa watesi wetu,kama ikimpendeza Mungu kuwaondosha kwenye uso wa dunia sisi ni nani tupingane na Mungu. Dua ziendelee tu hakuna jinsi nyingine.Kumuombea kifo Rais ni ugaidi. Hilo ni angalizo tu.
Lkn pia mifumo yetu ya kiusalama inaweza kuwa paralyzed wakati wowote na wenye mamlaka.Tatizo ni ukweli kwamba nchi huwa na mifumo ya kiusalama yenye watu wenye taarifa ambazo wengi wetu hatuzijui kwa kina.
Mzee wa watu Mbowe kafanya nini yarabi.
Unaomba kwa Mungu kwa lengo la kutetea ugaidi ukitegemea utajibiwa? Ugaidi hauna nafasi kwenye nchi yetu.Mwenyezi Mungu, ulie na mamlaka yote mbinguni na duniani, tunaomba umalize huu uonevu unaoendelea kwa kuwaondoa wale wote wanaohusika katika kutoa baraka zao uonevu huu uendelee pamoja na wale wote wanaosimamia utekelezaji wake.
Wale wengine walipukutika wamebaki hawa hivyo tunaomba na wao wawafuate maana hawataki kujifunza kutokana na makosa.
Tunaomba uanze na mhusika mkuu.
Sisi hatuna wa kumlilia zaidi yako maana hatuna nguvu walizonazo.
Ushampikia mumeo jioni ya leo au ndio umbea umbea tu hapa weMbowe ni gaidi, adhabu ya gaidi ni kunyongwa.
Gaidi mbowe hapaswi hata kuwepo gerezani, anapaswa afungwe jiwe shingoni atoswe baharini
AsanteKumuombea kifo Rais ni ugaidi. Hilo ni angalizo tu.
AMENMwenyezi Mungu, ulie na mamlaka yote mbinguni na duniani, tunaomba umalize huu uonevu unaoendelea kwa kuwaondoa wale wote wanaohusika katika kutoa baraka zao uonevu huu uendelee pamoja na wale wote wanaosimamia utekelezaji wake.
Wale wengine walipukutika wamebaki hawa hivyo tunaomba na wao wawafuate maana hawataki kujifunza kutokana na makosa.
Tunaomba uanze na mhusika mkuu.
Sisi hatuna wa kumlilia zaidi yako maana hatuna nguvu walizonazo.
Kwani aliyepo akiondoka ndio mwenye mamlaka mwingine hatakuwepo? Alipoondoka JPM si mlifurahi mkasema Mama "anaupiga mwingine"? Sasa je? Kwa taarifu yenu, hata Raised akiwa King Musukuma, mfumo ni uleule!Mwenyezi Mungu, ulie na mamlaka yote mbinguni na duniani, tunaomba umalize huu uonevu unaoendelea kwa kuwaondoa wale wote wanaohusika katika kutoa baraka zao uonevu huu uendelee pamoja na wale wote wanaosimamia utekelezaji wake.
Wale wengine walipukutika wamebaki hawa hivyo tunaomba na wao wawafuate maana hawataki kujifunza kutokana na makosa.
Tunaomba uanze na mhusika mkuu.
Sisi hatuna wa kumlilia zaidi yako maana hatuna nguvu walizonazo.
Unaelekea kubaya.! Serikali ipo muda wote.!Mwenyezi Mungu, ulie na mamlaka yote mbinguni na duniani, tunaomba umalize huu uonevu unaoendelea kwa kuwaondoa wale wote wanaohusika katika kutoa baraka zao uonevu huu uendelee pamoja na wale wote wanaosimamia utekelezaji wake.