Dhaaaaa mkuu embu jarbu
Tena kuiapload
Hapana siyo kweli. Hasa kuhusu nyimbo nilishaomba nyimbo ikaonekana hakuna anayeijua...hakukuwa na reply yyteUkikosa kitu jamiiforums ndo ujue hutakipata tena!. Hapa kila kitu tena bureeeeeeeee
Mkuu samahan kama unao pia
Ule unaosema (Aulaye mwili wang)
Naomba