chapaa
JF-Expert Member
- Feb 19, 2008
- 2,349
- 206
hahahaha......hiii kweli noma, usiombe sasa balaa lile kwa refarii, utakuta refarii anachezesha mpira ukifika mwisho anaelekea upande wa nyumba ilio karibu then akimaliza tu ni mbio mpaka ndani......hahahahha
hahahahaha! umenichekesha,au refa anachezesha kiunoni ana kisu