Mwenyekiti wetu Erickb52 uko wapi?

mwallu ana nini tena yule msukuma?
 
Last edited by a moderator:

Ahsante dada mtawa, mie najua tuaongea vizuri kweny pm..... halafu tutaweka mambo sawa
 
Last edited by a moderator:
hee heee heee Lucas imekula kwako, lakini warembo wapo wengi utapata tu mwingine mwayego. hivi mwallu na mimi naweza nika un do yote niliyoyafanya ili niingiepo utawani? coz nimesikia Kaizer huwa anaoa kila mwaka kama king mswati.

Ndugu yangu we acha tu, ila kama vile kuna room.ya mazungumzo bado..... ngoja nione mwishowe utakuajeutakuaje
 
Last edited by a moderator:
Judgement katumia tafsida hapo.... Erickb52 amekumbwa na Oparesheni Kimbunga aligundulika kuwa ni binamu yake Kagame tukafanya kumrudisha kwao. Kumbe hata ile roho ya UASI na VURUGU ni tabia ya ukoo wao na yule "I will hit you"
Erickb52 ni Mtanzania kabisaaaà, sema anatokea kikabila fulani ambacho wala hakieleweki!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…