Lucas
nimesoma ujumbe wako na nimeiona mipango yako ya kuipata mimi
hata hivyo,nachukua nafasi hii kukupa taarifa wewe na wengine wote ambao walikua hawafahamu kua mimi ni MTAWA
niko katika jumuia hii na nashiriki kwa maombi na shughuli zingine zinagusa wito wangu.
hivo basi,nashauri uangalie binti mwingine alie mwema maana na wewe lengo lako inaonekana jema tu
habari hii iwafikie
Baba V na
Erickb52 (sijui nani ni mwenyekiti halali kati yenu)
Kaizer na
DEMBA Heaven on earth Asprin ladyfurahia na wengine woteee
na kopi maalumu kabisa kwa
Mentor......