Mwenyekiti wangu, Mfukuze Nape Uanachama Mara Moja

Ewe Mwenyekiti wangu wa chama Chetu pendwa CCM Dk John Magufuli tunaomba kwa kulinda heshima yetu ya serikali na chama tunaomba umfukuze Uanachama wa Chama Cha Mapinduzi Mbunge wa jimbo la Mtama Ndugu Nape Mnauye.

Tunashuhudia kijana huyu akikukosea heshima wewe, serikali na chama chetu.
Nape sio mtu wa kwanza kuondolewa kwenye Baraza la Mawaziri.
Walisha ondolewa Mawaziri wengi ambao mimi nimeshuhudia nikiijua siasa kipindi cha JK lakini sijawahi shuhudia Waziri aliye enguliwa kuendelea kuiandama serikali.

Juzi Kitwanga ulimtumbua lakini kwa heshima ya serikali na Chama Kitwanga alikaa kimya, na hakuzungumza chochote.

Tumeshuhudia Wakuu wa Mikoa wakiondolewa lkn hakuna hata mmoja aliye lalamika na kupiga makelele.

Kwa sasa Nidhamu yaa Nape ktk serikali yako na hata Chama imepungua, ni wazi kwamba huyu ni Mwanachama asiye mtiifu, asiye weza tunza siri za Chama na hata serikali.

Kwa heshima ya chama Chetu na hasa sisi wanachama ambao hatupendezwi na mambo anayofanya Nape tunaomba umvue uanachama.

Nakuomba Mwenyekiti wangu uwe jasiri katika hili, usiogope!!
Kukaa na nyoka ndani ipo siku atakuuma!!

Asante!!

General Mangi
Bashite umekuja kivingine, ila tunakujua, onesha vyeti
 
Nadhani kabla ya kuanza kumshutumu Mtoa mada tungemuelewa kwanza hoja zake ambazo hata Mimi nisiyependa ' Unafiki ' na Mtu wa ' Kunyoosha ' maneno humu siku zote nimezipenda na kuzikubali. Kama ni ' kutumbuliwa ' wapo wenzake wengi wametumbuliwa huko nyuma kama hao aliowataja hapo juu ILA mbona Wao hawajahangaika kama ambavyo anaonekana kuyafanya Nape Nnauye? Psychologically tu inaonekana Nape Nnauye ameumia na bado anaumia mno ' kuondolewa ' katika ile nafasi na pengine kuna ambayo alikuwa anataka kuyafanya ndani ya hicho Cheo alichopokonywa kwa maslahi yake hasa Kisiasa na sasa ' anatapa tapa ' tu. Sipendi ' Unafiki ' huu nadhani Nape Nnauye atulie tu na ahangaike na wana Mtama wake na siyo kila mara kuitupia lawama tu Serikali hii ambayo leo anaisema vibaya na sisi Wananchi tunaisema vibaya lakini yeye ndiye alikuwa ' Kinara ' wa kuipigania hadi ikaaminiwa na kuwepo madarakani. Kama Serikali hii anaisema ni mbaya basi yawezekana hata yeye pia anahusika moja kwa moja katika huo ubaya wake. Nimeona nisilikalie kimya hili jambo na niseme tu kuwa naungana na Mleta / Mtoa mada.
 
Mkuu katiba imamruhusu, lakini yeye alikuwa Waziri na mjumbe wa baraza la mawaziri ambapo siri kubwa za taifa hujadiliwa.

Lakini kitenda cha yeye kuendelea kuinanga serikali sio nidhamu.

Nina hakika hata wewe pale nyumbani Mzee wako akikosea huwezi simama na kumnanga mbele za wadogo zako, kuna njia za kumfikishia ujumbe.
Sihasa
 
Ewe Mwenyekiti wangu wa chama Chetu pendwa CCM Dk John Magufuli tunaomba kwa kulinda heshima yetu ya serikali na chama tunaomba umfukuze Uanachama wa Chama Cha Mapinduzi Mbunge wa jimbo la Mtama Ndugu Nape Mnauye.

Tunashuhudia kijana huyu akikukosea heshima wewe, serikali na chama chetu.
Nape sio mtu wa kwanza kuondolewa kwenye Baraza la Mawaziri.
Walisha ondolewa Mawaziri wengi ambao mimi nimeshuhudia nikiijua siasa kipindi cha JK lakini sijawahi shuhudia Waziri aliye enguliwa kuendelea kuiandama serikali.

Juzi Kitwanga ulimtumbua lakini kwa heshima ya serikali na Chama Kitwanga alikaa kimya, na hakuzungumza chochote.

Tumeshuhudia Wakuu wa Mikoa wakiondolewa lkn hakuna hata mmoja aliye lalamika na kupiga makelele.

Kwa sasa Nidhamu yaa Nape ktk serikali yako na hata Chama imepungua, ni wazi kwamba huyu ni Mwanachama asiye mtiifu, asiye weza tunza siri za Chama na hata serikali.

Kwa heshima ya chama Chetu na hasa sisi wanachama ambao hatupendezwi na mambo anayofanya Nape tunaomba umvue uanachama.

Nakuomba Mwenyekiti wangu uwe jasiri katika hili, usiogope!!
Kukaa na nyoka ndani ipo siku atakuuma!!

Asante!!

General Mangi
Huu sasa ni umbea ambao mwenyekiti wetu hataki kuusikia. Alishasema fanyeni kazi achaneni na majungu ya mtandaoni.

Pili mkuu wetu hapangiwi cha kufanya. Ukimshauri ndo hafanyi kabisa.

Hapa kazi tu
 
Mkuu katiba imamruhusu, lakini yeye alikuwa Waziri na mjumbe wa baraza la mawaziri ambapo siri kubwa za taifa hujadiliwa.

Lakini kitenda cha yeye kuendelea kuinanga serikali sio nidhamu.

Nina hakika hata wewe pale nyumbani Mzee wako akikosea huwezi simama na kumnanga mbele za wadogo zako, kuna njia za kumfikishia ujumbe.

Mkuu:
Kwani Mh. Nape mpaka sasa ametoa siri gani za serikali.
 
Ewe Mwenyekiti wangu wa chama Chetu pendwa CCM Dk John Magufuli tunaomba kwa kulinda heshima yetu ya serikali na chama tunaomba umfukuze Uanachama wa Chama Cha Mapinduzi Mbunge wa jimbo la Mtama Ndugu Nape Mnauye.

Tunashuhudia kijana huyu akikukosea heshima wewe, serikali na chama chetu.
Nape sio mtu wa kwanza kuondolewa kwenye Baraza la Mawaziri.
Walisha ondolewa Mawaziri wengi ambao mimi nimeshuhudia nikiijua siasa kipindi cha JK lakini sijawahi shuhudia Waziri aliye enguliwa kuendelea kuiandama serikali.

Juzi Kitwanga ulimtumbua lakini kwa heshima ya serikali na Chama Kitwanga alikaa kimya, na hakuzungumza chochote.

Tumeshuhudia Wakuu wa Mikoa wakiondolewa lkn hakuna hata mmoja aliye lalamika na kupiga makelele.

Kwa sasa Nidhamu yaa Nape ktk serikali yako na hata Chama imepungua, ni wazi kwamba huyu ni Mwanachama asiye mtiifu, asiye weza tunza siri za Chama na hata serikali.

Kwa heshima ya chama Chetu na hasa sisi wanachama ambao hatupendezwi na mambo anayofanya Nape tunaomba umvue uanachama.

Nakuomba Mwenyekiti wangu uwe jasiri katika hili, usiogope!!
Kukaa na nyoka ndani ipo siku atakuuma!!

Asante!!

General Mangi
Nina mashaka na uwezo wa akili wa wanachama wa chama chenu!
Unamtaka mwenyekiti amtoe mtu chamani lakini kwenye sentensi karibu 100 hujasema hata kosa moja la Nnape!
Unasema amekosa nidhamu, anasema siri etc, yaani unajisemea tu unayoyafiria kichwani mwako!
Anyway, ni hivi.... kama kuna issue ambayo unaona Nnape amekosea, ainisha hilo alilolitenda, kisha sema ni kifungu gani cha katiba ya nchi au ya chama alichokivunja!
au ukiwa na wewe unaamini kama boss wenu kuwa yeye ni mtukufu kama mungu hapaswi kusemwa, kuhojiwa au kukosolewa hapo mtamsamehe tu Nnape!
 
CCM haitakufa leo, itakufa tu pale Tanzania itapata Upinzani Imara, ila sio huu upo kama kijiwe cha siasa!!
Acha kukariri wewe wa Kolomije. Umekuja mjini kwa malori ya mnada wa ng'ombe basi kila neno unalolisikia mjini unalibeba kama lilivyo.

Taja sifa za uimara wa chama hata moja tu. Push ups siyo mojawapo tafadhali.
 
CCM haiwezi kufa bila upinzani imara vinginevyo kelele za mpangaji mwenye nyumba anakoroma tu hata saa nane mchana .
 
Back
Top Bottom