TANZIA Mwenyekiti wa zamani wa TFF, Alhaj Said Hamad El Maamry afariki dunia akiwa ana umri wa miaka 86

Ni COVID Mkuu

Mkuu asante kutufahamisha. Wengi hatukujua.

Yaweza kuwa ilikuwa kwenye zile ajenda zetu za awamu ile kuwa hakuna Corona hapa. Ambapo hata misiba alitaka atangaze yeye.

Kama si yeye basi, pm, Msigwa (kama si Abbas) au Doro tu.

Hiiiiii bagosha
 
Ni kweli Mkuu hii habari haikuwemo humu. Nimesikia leo hii nikatafuta humu sikuiona ndiyo nikaamua kuiweka, Ni wiki nne zilizopita.
Nashangaa hata TFF hawakulisimamia vzr
Watoto wa elmamry wakina mddy najuana nao
Vzr...sana nakumbka waliniambia khs kifo cha mzee wao
Sema msiba ulienda kimya kimya sana
Media hazikuipa coverage sana

Ova
 
Ni kweli Mkuu hii habari haikuwemo humu. Nimesikia leo hii nikatafuta humu sikuiona ndiyo nikaamua kuiweka, Ni wiki nne zilizopita.
Alikuwa akiugua kwa muda mrefu sana

Ova
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nadhani labda watoto wake waliamua iwe kimya kimya sana pamoja na Baba yao kuwa alwatan mkubwa Dar na nchi nzima kwa sababu kifo kilisababishwa na COVID-19 na ni lazima wangezuka watu wengi sana msibani na kwenye mazishi yake, hivyo kuepusha hilo wakaamua kufanya kimya kimya.

Nashangaa hata TFF hawakulisimamia vzr
Watoto wa elmamry wakina mddy najuana nao
Vzr...sana nakumbka waliniambia khs kifo cha mzee wao
Sema msiba ulienda kimya kimya sana
Media hazikuipa coverage sana

Ova
 
Back
Top Bottom