Kisesa ni wapi huko mkuu ... usikute CDM wameshaingia mpaka Rwanda
kata ya kisesa iko katika jimbo la magu,(jirani kabisa na kata ya igoma jmbo la nyamagana kwa wenje) mkoani mwanza ambalo linaongozwa na mbunge wa ccm dr. Festus limbu.
Kisesa ni wapi huko mkuu ... usikute CDM wameshaingia mpaka Rwanda
Magamba yatapukutika sana safari hii. M4C ina baraka zote kutoka kwa umma na Mungu pia.na wana chama wengi wamerudisha kadi za magamba na kujiunga na CDM...
Mkoa wa Simiyu ni mpya, zimemegwa baadhi ya wilaya za mikoa ya Mwanza na Shinyanga.Dah! Mkoa wa Simiyu uko wapi au ulikuwa ndani ya mkoa gani kabla?
Mkuu kwa sasa kuna Kisesa mbili ndani ya mkoa wa Simiyu baada ya Magu kutolewa Mkoa wa Mwanza na kupelekwa Simiyu, kuna Kisesa ya wilaya ya Meatu hilo ni jimbo kamili, kuna hii Kisesa ya Magu ni kata iko karibu sana na Igoma Mwanza lakini sasa imepelekwa Mkoa wa Simiyu tungojee labda linaweza kuwa jimbo ila ninachojua kwa sasa ni kata kubwa sana.Kisesa ni jimbo mkuu ambalo kwa sasa lipo mkoa wa Simiyu.
Simiyu ina wilaya tano Bariadi makao makuu, Maswa, Meatu, Busega na Itilima.Simiyu ni ilikuwa ndani ya Shinyanga ambayo wilaya zake ni pamoja na Maswa, Bariadi, Meatu....
Asante mkuu maana mikoa kila kukicha inaibuliwa na magamba sijui wanafata utaratibu gani?Mkoa wa Simiyu ni mpya, zimemegwa baadhi ya wilaya za mikoa ya Mwanza na Shinyanga.
Kisesa ni jimbo mkuu ambalo kwa sasa lipo mkoa wa Simiyu.
Vipi ule mgogoro wa kila wilaya kugombania ndio iwe makao makuu uliishaje?Simiyu ina wilaya tano Bariadi makao makuu, Maswa, Meatu, Busega na Itilima.
Kisesa ni wapi huko mkuu ... usikute CDM wameshaingia mpaka Rwanda
Wale maiwani 4 na wenyeviti 21 vip kamanda au bado wanatafakazi uamuzi mgumu
Nashukuru kwa ufafanuzi wako mkuu.Kisesa inayoongelewa iko Magu lile jimbo la kisesa liko kati ya meatu na maswa.