Mwenyekiti wa vijana CCM kata Kisesa ahamia chadema.

Kisesa ni wapi huko mkuu ... usikute CDM wameshaingia mpaka Rwanda

kata ya kisesa iko katika jimbo la magu,(jirani kabisa na kata ya igoma jmbo la nyamagana kwa wenje) mkoani mwanza ambalo linaongozwa na mbunge wa ccm dr. Festus limbu.
 
Kisesa ni jimbo mkuu ambalo kwa sasa lipo mkoa wa Simiyu.
Mkuu kwa sasa kuna Kisesa mbili ndani ya mkoa wa Simiyu baada ya Magu kutolewa Mkoa wa Mwanza na kupelekwa Simiyu, kuna Kisesa ya wilaya ya Meatu hilo ni jimbo kamili, kuna hii Kisesa ya Magu ni kata iko karibu sana na Igoma Mwanza lakini sasa imepelekwa Mkoa wa Simiyu tungojee labda linaweza kuwa jimbo ila ninachojua kwa sasa ni kata kubwa sana.
 
Jamani kisesa iko wilaya ya Magu iko barabarani ukiwa unaelekea Mwanza ukiwa unatokea msoma karibu na Bujora makumbusho. naona tunaanza kubomo ngome ya Fedastus Limbu ndio wajinga wngine walio baki hana msaada wowote nje ya kuvaa miwani
 
msako. Ni mtu kwa mtu, nyumba kwa nyumba. Kata kwa kata, kijiji kwa kijiji. Na mwsho jimbo kwa jmbo. Hata mdudu wa malaria this tym watamwona kwa macho.
 
Kazi inaendelea vizuri, jeshi linazidi kuimarika, na kila hatua moja mbele inatuelekeza karibu na mstari wa ukombozi
 
Hongera makamanda wote mlio mstari wa mbele. Dr. Slaa & Lema kazi nzuri Kanda ya Ziwa. Songa mbele
 
Back
Top Bottom