Mwenyekiti wa vijana CCM kata Kisesa ahamia chadema.

Kisesa ni jimbo mkuu ambalo kwa sasa lipo mkoa wa Simiyu.
Hapana mkuu Kisesa inayoongelewa hapa ni kijiji kilichopo wilayani Magu,kwa sasa kimetolewa wilayani Magu na kuongezwa kwenye wilaya mpya ya Nyamagana. Huku ndiko nyumbani kwao na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Mzee Mabina na ambaye alikuwa diwani wa kisesa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu miaka ya nyuma kidogo.
 
Vipi ule mgogoro wa kila wilaya kugombania ndio iwe makao makuu uliishaje?
Ulishaisha Bariadi ndio makao makuu ya mkoa wa Simiyu mkuu, Maswa walionekana hawana ground base wao walisimamia kwenye ukongwe wa mji badala ya misingi ya kiuchumi. Mwisho wakasema wao Maswa watabaki mkoa wa Shinyanga Pinda akawaambia sawa lakini serikali itakuwa inapeleka bajeti yao Simiyu na sio Shinyanga.
 
Kata ya kisesa ipo wapi Crashwizo? Jimbo gani? Hahahaha Habari njema kwa UKOMBOZI MPYA.

Kata ya Kisesa iko Wilaya ya Magu mpakani kabisa mwa Wilaya ya Nyamagana kwa Ezekiel Dibogo Wenje, zote zikiwa ni miongoni mwa Wilaya zinazounda mkoa wa Mwanza.Kijimbo Kisesa ipo jimbo la Magu kwa Dr Festus Limbu wa CCM.
 
na wana chama wengi wamerudisha kadi za magamba na kujiunga na CDM...

What are you people doing to build the infrastructure ya kubeba hili wimbi kubwa la converts? Sikiliza. Mimi niliwahi kuwa kwenye mfumo fulani ambao ulipata wafuasi wengi kuliko uwezo wa kuwalinda na kuwalea, na hili baadaye lilileta kuzorota kwa operations kwa sababu hapakuwa na infrastructure ya kulea hao watu. Watu wapya huwa wanapokea kitu kipya wakiwa na matumaini fulani na sasa elimu ya marekebisho ya matazamio yao inatakiwa kufanyika haraka na kwa usahihi. Unajua hii ina hatari ya kuwa kama kuhubiri Torati ya Musa juu ya Ukombozi wa wana wa Israeli kama ilivyowekwa katika Quran au Biblia, ili mradi sasa unatakiwa uwe na wachungaji wa kutosha, mashehe wa kutosha, misikiti ya kutosha, makanisa ya kutosha kulea hawa wafuasi wapya. euphoria ya kupata wafuasi wapya wengi inaweza kuishia kwenye shida baadaye bila mfumo mzuri wa ku-absorb hawa watu wapya na kuwalea katika imani mpya. Sijui Crashwise unanielewa? do I make any sense?
 
JB mimi nimekuelewa, CDM wasifurahie ujio wa wanachama wapya bila maandalizi ya kutosha. Infrastructure unazosema ni pamoja na uongozi na offisi, ila ninachojua uchaguzi wa ndani uko under way watajipanga wenyewe, na kwa vile wanakuja kwa wingi kutoka sehemu moja naamini watakuwa na uwezo wa kupata ofisi za kuanzia kwenye maeneo yao wakati chama kikijipanga. Ni kweli ni risk kupokea kundi kubwa bila kujiandaa.
 
Kukaa na kadi ya CCM ni sawa na kuwa na kuoa mwanamke mgumba asiye na kizazi karibu Peoples power mwanamke anayezaa mapacha.
 
Kata ya kisesa ipo wapi Crashwizo? Jimbo gani? Hahahaha Habari njema kwa UKOMBOZI MPYA.

Kata ya Kisesa iko wilayani Magu, Mkoa wa Mwanza.
**Kitendo hiki ni kivuno kikubwa kwa chama cha chadema kwa kuwa hilo jimbo mbunge wake ni wa chama cha CCM.
...karibuni chadema itachukua majimbo yote ya ukanda wa ziwa
 
Last edited by a moderator:
Usiombe kukutwa na "Upako Wa Lema".

Kazi Ni Nzuri, Kazi Inaleta Matumaini
 
Usiombe kukutwa na "Upako Wa Lema".

Kazi Ni Nzuri, Kazi Inaleta Matumaini
 
Nape atakuwa anamlaani Pinda kushinikiza Lema kuvuliwa ubunge sababu naona anachokifanya ni zaidi ya alivtokuwa mbunge,,mpaka rufaa isikilizwe tutakuwa tumeshatoboa kwa stela Manyanya kwa yule judge aliyetekeleza maamuzi ya Pinda...
 
Back
Top Bottom