Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
------------
"Waziri wa Vijana anapewa fedha anakuja kutuambia sisi vijana kwamba fedha hizo zimepelekwa wizara za kisekta, sisi tulitarajia Waziri Joel Nanauka baada ya kupokea ile hundi aje awaeleze vijana kwamba bilioni 200 zipo utaratibu wake ni huu, vigezo vyake ni hivi, muongozo wake wa utolewaji ni huu, udhibiti wake ni huu, vijana njooni mukope utaratibu wake ni huu hapa. Yeye akisimama anaishia kusema kwamba fedha zikwenda Wizara za Kisekta."- Amesema Abudl Nondo, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT-Wazalendo