Wenyeviti wote nchini ni wa ccm. Walishinda kwa hisani ya Mh. Selemani JafoMwenyeviti hawana chama?
R.I.P mwenyekiti.
Mchungaji Msigwa bado yuko Mbeya?Wenyeviti wote nchini ni wa ccm. Walishinda kwa hisani ya Mh. Selemani Jafo
Tunakoelekea ndio kubaya zaidi.Dunia haiwezi kutuliaaaa
Inawezekana pia watu wanaona hawapati haki..
Noma sanaTunakoelekea ndio kubaya zaidi.
Zamani majaji tuliwalinganisha na Watakatifu lakini leo hii ni balaa tupu!
Lipo jambo unataka kulieleza lakini, umekunja ulimi....Kunjua Ulimi usikike huenda unayo hoja ndugu mjumbe!!!Wenyeviti wote nchini ni wa ccm. Walishinda kwa hisani ya Mh. Selemani Jafo
Aisee, anaendeleza ugaidi huko!Mchungaji Msigwa bado yuko Mbeya?