Mwenyekiti wa CUF, Pia Bingwa wa Uchumi Duniani Prof. Lipumba Kuunguruma Kesho Katika Kipindi Cha Mlimani Leo. Usikose

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
IMG-20200409-WA0014.jpg
Mwenyekiti wa CUF Bingwa wa uchumi Duniani Prof. Lipumba Atakuwa live Kesho Katika katika Kipindi Cha MLIMANI LEO.

Kipindi hicho kinaanza Saa 2:00 Asubuhi.

Atachambua maswala mbalimbali ya Uchumi na Hali Tuliyonayo Katika Kipindi hiki Cha Gonjwa la CORRONA Nchini.

USIKOSE
 
Kuna wenyeviti wa vyama vingine nje ya siasa hawana chochote cha kuchambua professionally labda kuchambua mchicha na dagaa.
 
Kuna wenyeviti wa vyama vingine nje ya siasa hawana chochote cha kuchambua professionally labda kuchambua mchicha na dagaa.
"Professional" ni nini? Mwenyekiti ambaye ni fundi seremala akizungumzia kuhusu kutengeneza vitanda hiyo haitakuwa "Professional"?

Au "Professional" ni kwa waliosoma vyuoni na kupewa vyeti peke yao?
 
Back
Top Bottom