Mwenyekiti wa CHADEMA yupo wapi? Mbona kimya sana, hajatia hata neno

Nimewaza nikaona niulize hili swali kwa kuwa ni muda mrefu sijamuona hadharani mwenyekiti wa CHADEMA.

Nina marafiki wa karibu huko, lakini hakuna aliyetoa jibu wengi wananambia sio kazi yako kujua.

Lakini niseme wazi ninamkubali Sana mbowe kwenye busara na hekima, hata Kama Jambo ni baya kiasi gani anaweza kuliamua kwa hekima kubwa sanaa au akalimaliza kimyakimya bila kuleta madhara kwa watu.

Kama kukushughulikia basi atafanya kwa weledi mkubwa, kwa hapo namkubali sana. Ana chunga Sana ulimi wake.

Ila upo kimya sana, Kuna mambo mengi ya kuongea hapa maana siasa bila kashikashi hazinogi kabisa.

Pamoja.
Yupo Dubai. Ana nyumba Dubai.
 
Na bado, mtalia sana lakini hamtaniona. Mtasaga meno
 
Wewe unaamini kua Mbowe ni mpinzani?

Unaamini nchi na uongozi hawana mbinu imara za kuendesha siasa ambazo zitatufanya tuwe salama kama nchi?

Fuata maisha yako,lea watoto wako,achana na maisha ya watu
 
Yupo Dubai ana umeme wa megawatt 20,000.
Huu umeme ni mara kumi ya ule wa mradi wetu kule Rufiji. Unamaanisha tuahirishe mradi huu hatuna haja ya kuendelea na ujenzi?

Mbowe ni mtu mmoja ana hekima sana. Ukiona amekaa kimya hivi, siku akija kufunguka jitahidi kumsikiliza vizuri. Ana hekima ambayo iko juu kidogo ya umri wake.
 
Nimewaza nikaona niulize hili swali kwa kuwa ni muda mrefu sijamuona hadharani mwenyekiti wa CHADEMA.

Nina marafiki wa karibu huko, lakini hakuna aliyetoa jibu wengi wananambia sio kazi yako kujua.

Lakini niseme wazi ninamkubali Sana mbowe kwenye busara na hekima, hata Kama Jambo ni baya kiasi gani anaweza kuliamua kwa hekima kubwa sanaa au akalimaliza kimyakimya bila kuleta madhara kwa watu.

Kama kukushughulikia basi atafanya kwa weledi mkubwa, kwa hapo namkubali sana. Ana chunga Sana ulimi wake.

Ila upo kimya sana, Kuna mambo mengi ya kuongea hapa maana siasa bila kashikashi hazinogi kabisa.

Pamoja.
 
Nimewaza nikaona niulize hili swali kwa kuwa ni muda mrefu sijamuona hadharani mwenyekiti wa CHADEMA.

Nina marafiki wa karibu huko, lakini hakuna aliyetoa jibu wengi wananambia sio kazi yako kujua.

Lakini niseme wazi ninamkubali Sana mbowe kwenye busara na hekima, hata Kama Jambo ni baya kiasi gani anaweza kuliamua kwa hekima kubwa sanaa au akalimaliza kimyakimya bila kuleta madhara kwa watu.

Kama kukushughulikia basi atafanya kwa weledi mkubwa, kwa hapo namkubali sana. Ana chunga Sana ulimi wake.

Ila upo kimya sana, Kuna mambo mengi ya kuongea hapa maana siasa bila kashikashi hazinogi kabisa.

Pamoja.
Mnamhakikishia usalama akiongea yasiyowapendeza? Maana hamchelewi kumpa ukilema mtu anayepingana nanyi.
 
Huu umeme ni mara kumi ya ule wa mradi wetu kule Rufiji. Unamaanisha tuahirishe mradi huu hatuna haja ya kuendelea na ujenzi?
Mbowe ni mtu mmoja ana hekima sana. Ukiona amekaa kimya hivi, siku akija kufunguka jitahidi kumsikiliza vizuri. Ana hekima ambayo iko juu kidogo ya umri wake
Lugha za mjini uwezi zielewa.
 
Huu umeme ni mara kumi ya ule wa mradi wetu kule Rufiji. Unamaanisha tuahirishe mradi huu hatuna haja ya kuendelea na ujenzi?
Mbowe ni mtu mmoja ana hekima sana. Ukiona amekaa kimya hivi, siku akija kufunguka jitahidi kumsikiliza vizuri. Ana hekima ambayo iko juu kidogo ya umri wake
Kuuliza sio ujinga bwashee, yupo wapi?
 
Napenda kujua na kufahamu alipo mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe.

Ni zaid ya mwezi sasa ndugu Freeman Mbowe haonekani hadharani , na hata kwenye msiba wa JPM still saut ya Mbowe ilikuwa kimya.

Kwa yeyote mwenye kufahamu anijuze tafadhali
 
Napenda kujua na kufahamu alipo mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe.
Ni zaid ya mwezi sasa ndugu Freeman Mbowe haonekani hadharani , na hata kwenye msiba wa JPM still saut ya Mbowe ilikuwa kimya.

Kwa yyte mwenye kufahamu anijuze tafadhali
Mbowe yuko Dubai

Ni mzima kabisa

Kateswa kaibiwa kura kafungwa
Ña bado Mungu kamtetea.
 
Kama mnammisii kiasi hicho, kulikuwa kuna umuhimu gani wa kumpokonya ubunge wake na kumpa yule ndugu yenu Saashita! Sijui Shaashisha nani yule!! Mngekuwa mnawaona wote muda huu kule bungeni.
 
Mimi nawakumbusha tu watanzania wote ngoma ipo na inaua.

Na kama unatumia dawa za kufubaza basi zingatia ushauri wa wataalam.

La sivyo ndio tutaanza kutafutana mmoja mmoja.
 
Napenda kujua na kufahamu alipo mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe .....
Ni zaid ya mwezi sasa ndugu Freeman Mbowe haonekani hadharani , na hata kwenye msiba wa JPM still saut ya Mbowe ilikuwa kimya ....

Kwa yyte mwenye kufahamu anijuze tafadhali ,
Unafikiri ni Mbowe tu haonekani? Wenye akili wengi kweli wamefadhaishwa sana na yaliyotokea hivi karibuni. Kufariki kwa Rais wa Nchi yetu kwa COVID -19, imeonyesha ubovu mkubwa wa Taasisi zetu, kuanzia Usalama, Afya, nk nk. Hatuko salama tena.

Hatuko salama kabisa. Angalia sasa hivi hata huyu Mama wala hajali Afya yake na watu wake, Mask Free, na haongelei kuhusu tahadhari ya virusi, na winter mwezi ujao inaanza Tanzania. Tunaweza tukashangaa makamu wa Raisi wawili wanachkua nchi.

Mbowe alionya COVID -19, akabezwa, sasa tumeona, bado tunazidi kucheza na Nature, sayansi ipo.
 
Back
Top Bottom