Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Monduli asimamishwa uongozi mara moja

tunaomba wanasheria wa chama waongeze kipengere cha kuwaburuza mahakamani wasaliti kama huyu ili kukomesha ujinga huu
 
bomoa kabisa mtandao wa wasaliti,hiii inaitwa operesheni safisha chama,cdm sio ccm wanaoneana aibu.no room for traitors
 
TAARIFA KWA UMMA
........ibara ya 10 (X) "Kiongozi asitoe tuhuma zozote juu ya viongozi wenzake pasipo kupitia vikao halali na kuzingatia taratibu na ngazi zilizoelezwa kwenye kanuni za chama".....




Amani Golugwa
Katibu wa CHADEMA – Mkoa wa Arusha.
(Kwa niaba ya Baraza la Uongozi la Mkoa wa Arusha)
Tarehe 30 Novemba 2013

============================== ====================
Tufukuze vimbweha vyote bado 44


hii lema haikuwa ikumhusu pale alipokuja hapa JF na kumtuhumu kiongozi mwenziwe kama mnafiki, kuhusu kupokea posho?

au Lema ni special ?
 
ONYO KALI: Ukihoji ruzuku bila kutonya wezi wa ruzuku lazima tukupe kesi ya usaliti-Chadema makao makuu
Kosa kubwa la Mchungaji kuhoji posho kutoka 1,500,00 mpaka 2,500,000 kwa mkurugenzi.
 
chadema mmelipata wapi fagio la chuma la mzee mwinyi ninyi ?? kwanini msiwaazime CCM wakasafishia
majambawazi wakina LOWASSA NA KINA CHENGE
Wabakaji wakina Kapuya na wenzake
madila wa meno ya tembo wakina KINANA
walioua elimu yetu wakina kawambwa na wengineo ???
huko kuna ile lugha ya kijinga sana kwamba eti chama kitatikisika ! poor magamba !
 
Kosa kubwa la Mchungaji kuhoji posho kutoka 1,500,00 mpaka 2,500,000 kwa mkurugenzi.

Adhabu ya kwanza ni kufukuzwa uanachama na ruksa kwa mh Lema kumpa first aid ya kitofali cha bega popote atakapomuona katika mitaa ya Arusha na Moshi
 
hii habar nzuri sana, but kuna kimtu magic fm sasa kimenichefua sanaaaaa hakieleweki.
 
Heko CHADEMA!! Huu ndio wakati wa kukamuwa Majipu yote ili maumivu yawe ya wakati mmoja.
Ila nijuavyo mimi tayari Majipu 7 kati ya yale 50 yameshatumbuliwa baada ya leo Jipu Mojawapo kule LINDI kupasuka lenyewe.
Hivyo kwa hesabu hii bado 43 na sio 44 km mleta mada alivyoandika.

Shukurani za pekee zimwendee Mbunge wa Arusha Mjini Mh GODBLESS LEMMA kwa kuongozwa na ROHO MTAKATIFU na kuichukua ile Kompiuta mpakato ya MWIGAMBA.Kumbe chama kingepata wakati mgumu sana mbeleni kwani huu mtandao ulikuwa ukikua kwa kasi kubwa sana.

MUNGU YU PAMOJA NASI!!
 
Chama kimepoteza kabisa sifa ya utaifa.
Kaskazini kwanza utaifa baadae,hiki chama mzee Mtei amekisajili kwa pesa yake mpaka familia irudishe ilichowekeza kwanza ndio utaifa uje

 
Back
Top Bottom