Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Monduli asimamishwa uongozi mara moja

usijidanganye dadaangu ben chama cha kufa na kuzikana cdm ndo kinakufa ivo,nyie wafuasi wa kibwetere mnaoendeleza siasa za zidumu fikra sahihi za mr zero ndo mnakiua chama...i wonder mtoto mzuri kama wewe tena msomi unakosa FIKRA HURU katika kutoa maoni yako kwa kuhofia eti kumkwaza MR ZERO NA KIBABU kwa kuwa wanaogopa na hawapendi challlenge??? umepotea maboya we binti saa nane...

matusi na kashfa na kebehi vinaruhusiwa karibuni wafuasi wa kibwetere a.k.a dikteta mr zero karibuni kunishambulia mm mfuasi wa watu wenye akili timamu kama ZZK,DR KITILA,MWIGAMBA,NYAKARUNGU ,MAGUFULI,DR MWAKYEMBE N.K.

kabla hamjaanza kunishambulia pigen kwanza viroba na kile kitu anachowawavutishaga homosexul wa arusha alielaaniwa duniani na mbinguni pamoja na arusha

Kumbe na Nyakarungu unaye, wahini Lumumba
 
Karma cdm ni chama kikristo huyu aliyevuliwa madaraka ni mchungaji; he mchungaji no muislamu
 
Hivi huyu Mbona anadhalilisha cheo cha uchungaji? Au hili ni jina la utani kwa kuwa alikuwa anachunga ng'ombe Enzi zake? Naunga mkono maamuzi Haya makini!
 
huu ndo wakati mwafaka wakuondoa virus vyote kabisa tuingie 2014 na team yenye mwelekeo thabiti bigup cdm
 
Inawezekana na muliandika tuhumu jamvini au mlikutana na vyombo vya habari lakini yeye mlengwa hakumpa barua kama ya azimio mlio fikia kama kawaida yenu
 
Jamani msameheni Kinana...anambwatukia sana Nyalandu hasa kwenye masuala yahusuyo utalii huku yeye akiwa mtuhumiwa wa ujangili sasa mnategemea kuna jema litatokea kwake? Sasa anaumbuka kwenye kila kitu! Anachukua waliofukuzwa anadai viongozi...na bado atazidi kuadhirika
 
Back
Top Bottom