Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
ile kauli ya nasari kwamba kaskazini ijitenge imeanza kumgharimu.mwenye macho haambiwi tazama
Nasari hawezi kushinda tena ubunge 2015.hali hii ya watu wake wa karibu waliompigania kuanza kurudi kwenye kundi lao la zamani inawasha taa nyekundu kwa kijana,ajitathmini.
ile kauli ya nasari kwamba kaskazini ijitenge imeanza kumgharimu.mwenye macho haambiwi tazama
Mwenyekiti wa chadema wa moja ya kata katika arumeru mashariki bw nuru macha na wanachama wengine 15 wa chama hicho wamehamua kujiunga na ccm
source Daily News: http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/7760-chadema-ward-chairman-15-others-defect-to-ccm
Havina tofauti yote magazeti ya chama cha mapinduzi!
nincompoop!!Habari ndiyo hiyo hata kama hautaki. Wamegundua ukweli uko wapi. Na kama hautaki wewe mwambie tu MOD ataiondoa hiyo thread.
Nilijua tu haka kachama katakufa kama kabuzi kagonjwa.
Mwenyekiti wa chadema wa moja ya kata katika arumeru mashariki bw nuru macha na wanachama wengine 15 wa chama hicho wamehamua kujiunga na ccm
source Daily News: http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/7760-chadema-ward-chairman-15-others-defect-to-ccm
Filipo ni serikali ya chama cha mapinduzi.....hata hayo magazeti yamejitoa kufanya kazi ya serikali yanafanya kazi ya chama kama tbc1 !Habari Leo sio gazeti la chama. Ni la serikali. Tumekuwa tukichanganya sana mambo ya chama na serikali na ndio ikasababisha mali za serikali kuporwa na chama. Mfano ni viwanja vya mpira!