Hata Marekani wanaotoa mchango mkubwa wa Ushindi kwenye kampeni hukumbukwa kwenye kuunda serikali.
Wewe unafikiri vita ya Propaganda kama siyo wale vijana kusimama kidete kwenye mitandao shaping ya opinion ingetawaliwa na nani?
JK ni muungwana sana, ndiyo maana anatambua michango ya watu waliokifikisha chama kushinda, anaona ni watu wanaofaa kukumbukwa.
Ifahamike, Serikali iloyoko madarakani inaongozwa na Magufuli lakini siyo ya Magufuli, Ni serikali ya CCM, Ilani ya Uchaguzi ya CCM , CCM ambayo mwenyekiti wake ni Jakaya Mrisho Kikwete.