Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,368
Ina maana hamna hata wana JF kawe ambao ni wajumbe
Mzee wetu Pascal Mayalla kajikusanyia kura 2
Mzee wetu Pascal Mayalla kajikusanyia kura 2
Namba ya kiatu cha mdori?Hapana kaka, hili limetudhalilisha na kutufedhehesha sana.....yaani number ya kiatu igeuke iwe ndiyo idadi ya kura no no no no....!!
Naamini hili litafanyika kwa uwazi pia. Kila mgombea ahesabu kura zake mwenyewe kwa uwazi kabisa kuondoa mapichapicha na masanduku ya kura zisizojulikana!!Muda wa kuipata haupo kwa sasa bali tuombe kura zihesabiwe pia kituoni na majibu tupewe peupe kuondoa malalamiko na mafindofindo
No sio mbili, mbili ni nyingi, mimi nimeambulia kura moko!, "kamoja tuu".Mzee wetu Pascal Mayalla kajikusanyia kura 2
Mmh umesemaje?Nimeisoma, kukosa kura au kupata kura chache kama kura moja au mbili au tatu, ndio kipimo cha uadilifu, kuwa hukutoa rushwa.
P
Kuna watu hapo mwanzoni alifanikiwa kuwadanganya kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu lakini ile video iliwapa uhakika wale waliokuwa na mashaka kama huyu bwana ni tapeli kupitia bebo la Mungu au la.Sikuhizi kila mtu ana mdharau tu asifikiri kipindi ana mashabiki wengi enzi za ukawa na Sasa ni sawa, atulie kimya na ile video ndio imeharibu haswa
[emoji23][emoji23]We hata Duh hujui.
Ni Duh...!.
P
PoleilaPole sana ila jamani mbona mnampa Mh Rais kazi ambazo hapati kupewa yeyote maana haina tija? Mshukuruni mkuu kwa kuruhu yeyote anayetaka na kuhisi anaweza kugombea. Matokeo watangaza nia wakajitokeza kwa maelfu. Kwa hali kama hiyo ulitegemea nini? Watu ambao si sanasiasa hata chembe wakajitokeza kama utitiri ulitegemea nini? El Maamry enzi ile akiwa mkuu wa FAT aliwahi kusema kwenye mchezo wa mpira kuna 'Mshindi' na 'Mshinde' baada ya Yanga kufungwa na Sinba na kulalamikia matokeo. Ndugu yangu kama huna kifua cha kukubali matokeo basi usithubutu kuingia kwenye kinyanganyiro.
Moja kwa moja kwenye mada; kitendo cha Mwenyekiti wetu kusema kura zote ziwe za wazi na zote zitangazwe hadharani kweli kimetuumbua makada wengi mno.
Sasa mtaani hatuna amani kila ukipita unasikia 4 mara 2 mara zero. Kwa kweli Mwenyekiti wetu tunakupenda sana ila kwa hili umetuumbua sana sisi makada wenzako wa CCM.
Hatuna raha huku mtaani tafuta namna utusafishe walau useme hizo kura si kigezo cha kukubalika ndani ya chama bali yalikuwa ni majaribio tu.
Ni ombi tu Mwenyekiti wetu kama itakupendeza. Ni mimi kada nwaminifu wa kawe niliyepata kura 2.
Kwa kweli heshima yake imeshuka mno na watu wamempuuza na kumwona hamnazo, na alipoingia huko siasa za ccm ndo kabisa, huyo gwajima atulie atafakari na ajirekebishe na ccm wakimpitisha kugombea Kawe kazi kwa Halima itakuwa nyepesi mno, tangu nione ile video nikampuuza mazima na Hana haya kudaganyaKuna watu hapo mwanzoni alifanikiwa kuwadanganya kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu lakini ile video iliwapa uhakika wale waliokuwa na mashaka kama huyu bwana ni tapeli kupitia bebo la Mungu au la.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kugawe namba pale mlangoni za kila anayekuja kupiga kura. Waeleweke ni wangapi wamepiga kura. Kwenye hesabu kura za maruhani zisihesabiweNaamini hili litafanyika kwa uwazi pia. Kila mgombea ahesabu kura zake mwenyewe kwa uwazi kabisa kuondoa mapichapicha na masanduku ya kura zisizojulikana!!