DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
Mpaka mwenyekiti wa kata kuhama chama ni news? Dah hii kali.
na kupendeleana katika nyazifa, ufadhili katika shule,masters, tunaona dodoma wamejaa wale wa Dini yetu tu, na pia ufadhili wa wama kwa watoto yatima bado ni dini yetu hadi watendaji wa chuo ni walewale wa kadini ketu.Ukombozi ni kama mafuriko, hayazuiwi kwa kanga na kofia za kijani na njano
Mpaka mwenyekiti wa kata kuhama chama ni news? Dah hii kali.
View attachment 126942Rejao wewe ni yupi kati ya hawa b7 fc ....naona ulikuwa likizo sijui ilikuwa Martenity maana muda kamanda hatukuoni JUKWAANI.....