DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
Wakuu
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi kata ya Moshono jijini arusha Philimon Meijo na aliyekuwa meneja wa kampeni wa diwani wa kata ya moshono Johnfas Medoti wamevua gamba na kujiunga na makamanda chadema.
Taarifa toka katika mkutano huo uliofanyika ktk mtaa wa Moivaro zimedokeza kuwa makamanda hao wapya wamepokelewa ktk mkutano uliohutubiwa na naibu meya wa jiji bw.Msoffe.
Pia Kamanda Msofe alifungua ofisi ya chadema tawi la Moivaro iliyojengwa kwa nguvu za wanachama.
Source: Mimi mwenyewe katibu mwenezi wa cdm MOSHONO Jijini Arusha.