Mwenyekiti wa CCM Kata ya Moshono - Arusha ajiunga na CHADEMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,652
2,627
Wakuu

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi kata ya Moshono jijini arusha Philimon Meijo na aliyekuwa meneja wa kampeni wa diwani wa kata ya moshono Johnfas Medoti wamevua gamba na kujiunga na makamanda chadema.

Taarifa toka katika mkutano huo uliofanyika ktk mtaa wa Moivaro zimedokeza kuwa makamanda hao wapya wamepokelewa ktk mkutano uliohutubiwa na naibu meya wa jiji bw.Msoffe.

Pia Kamanda Msofe alifungua ofisi ya chadema tawi la Moivaro iliyojengwa kwa nguvu za wanachama.

Source: Mimi mwenyewe katibu mwenezi wa cdm MOSHONO Jijini Arusha.
 
Ukombozi ni kama mafuriko, hayazuiwi kwa kanga na kofia za kijani na njano
na kupendeleana katika nyazifa, ufadhili katika shule,masters, tunaona dodoma wamejaa wale wa Dini yetu tu, na pia ufadhili wa wama kwa watoto yatima bado ni dini yetu hadi watendaji wa chuo ni walewale wa kadini ketu.
 
image.jpg Rejao wewe ni yupi kati ya hawa b7 fc ....naona ulikuwa likizo sijui ilikuwa Martenity maana muda kamanda hatukuoni JUKWAANI.....
 
Kwa kweli afadhali tupate Januari Makamba au Asha Rose Migilo ambao ni wakadini ketu, lakini hao wanaweza kuchukua nafasi ya waziri mzigo ili kulinda kadini ketu.
 
huyo aliyeingia chadema ilikuwa ajaze nafasi za mawaziri mizigo, amekosa bahati, mm!! lakini asingepata kwa vile si wa kidini ketu.
 
Mpaka mwenyekiti wa kata kuhama chama ni news? Dah hii kali.

Na bado, mpaka wewe Rejeao tutahakikisha siku moja unajitambua. Tutakwenda taratibu kutoa elimu ili wenye akili nzito kama wewe pia tusiwaache. Peoplezzzzzzz!
 
Rejao kumbe still nawe bado upo buku7fc nlifkiri umeshatoka kwenye payroll

wenzake leo wamegomea Kodi kwenye buku 10.huyu ana TIN no kabisa ya lumumba anakatwa 5% only
 
Last edited by a moderator:
Karibuni CHADEMA, lakini lazima tuwa screen wote isijekuwa mmetumwa!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom