Kuna watu wanaona fahari sana kushika hivi vyeo vya kidunia! Ebu wawaangalie wenzao waliotangulia mbele za haki tena wengine walikuwa na vyeo vikubwa kuliko walivyonavyo wao lakini leo hii wapo wapi na je hicho walichokuwa wakikiangaikia hapa duniani wameenda nacho huko ahera? Mtu na akili zako timamu unajitoa fahamu kwa sababu ya kujipendekeza ili upate cheo!