Mwenyekiti Uvccm Ruvuma aenda jela miaka 36!

Mwenyekiti Uvccm Ruvuma aenda jela miaka 36!

Safety last

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
4,242
Reaction score
1,430
Title yausika : source jungu kuu Tbc taifa! Anaitwa Benedict ngwenya Kahusika na ubadhirifu wa fedha (80million) kwenye kampuni (DAE LTD )aliyokuwa anafanya kazi Kama mhasibu! Pia ni katibu wa mbunge John komba!
 
Lazima atakuwa alikuwa anabifu na Riz one huyu jamaa!
 
ubadhirifu wa fedha kwenye kampuni aliyokuwa anafanya kazi .

Mwenye taarifa za chini ya pazia atupe jamani, kwani wabadhirifu nchi hii wapo wengi na wapo mitaani tunadunda nao, huyu itakuwa lazma amekwaruzana na familia ya bwana mkubwa, kwani jamaa kwa visasi wanaweza kweli kweli
 
Wamezoea wizi katika chama chao cha magamba,sasa kakosea njia kaiba pabaya kala nyundo 36
 
Mambo ya kwenda kushikishwa ukuta hayo!
 
minaona ni upumbavu tu huyo akimu mjinga kabisa na kamaameiba hizo senti rostam ,chenge lowasa wanafungwa mingapi,wapikina mramba na kibo palace
 
Amerithi tabia za magamba CCM,aongezewe na viboko 12
 
Back
Top Bottom