Tamko alitoa Martin Shigella ni moja ya kauli mfu watoazo wanasiasa wasiokuwa na upeo au waliopofushwa na propaganga.Eti------chadema ndo wamempiga risasi kijana Alli,Shigella atueleze,jana kulikuwa na majibishano ya risasi kati ya chadema na Police?mbona police wenyewe hawajasema ilo?uyu mwanasiasa kijana hana sifa ya kuwaongoza ninyi wana CCM other wise anawakilisha maoni potofu yenu
Sijui CCM waliangalia nini wakati wanampa kazi huyo Shigella! Huwa anazuka kwa kazi moja tu - kulaani. Hana jipya, haingei kuhusu umaskini wa watanzania, ajira etc yeye ni kulaani! Mungu is Athumani.
Mungu is Athumani au si Athumani, unajua unaweza ukakosea na bado ikaleta maana?Sijui CCM waliangalia nini wakati wanampa kazi huyo Shigella! Huwa anazuka kwa kazi moja tu - kulaani. Hana jipya, haingei kuhusu umaskini wa watanzania, ajira etc yeye ni kulaani! Mungu is Athumani.
Kwani CHADEMA walikuwa na SMG na Mabomu?
Kwa kauli yake ni wazi kuwa CCM iliwatuma Polisi wawaue wana CHADEMA.. Anaowaongoza nao wamekaa nyuma ya mtu huyu wame Relax??? Kweli CCM ina viumbe wa ajabu!.