PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Kagera: Siasa siyo mchezo wa jando na unyago

PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Kagera: Siasa siyo mchezo wa jando na unyago

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhani amewaasa Viongozi wa Jumuiya ya Vijana ngazi zote ndani ya mkoa wa Kagera kufanya kazi kwa bidii ili kuzitendea haki nafasi walizonazo kwenye maeneo yao, huku akisisitiza kwamba hiyo ndiyo njia pekee ya kulinda imani waliyopewa na vijana waliowachagua kwenye nafasi hizo.

Ndugu Faris Buruhani ameyaeleza hayo alipokuwa akizungumza na wajumbe wa Baraza la Umoja wa Vijana wa CCM wilaya ya Muleba ambaoni viongozi wanne kutoka katika kata 43 zinazounda wilaya ya Muleba.

Faris amesisitiza kwamba maendeleo ya sayansi na teknolojia yatusaidie kuonyesha ni nini tunafanya, lini tunafanya na tunafanyia wapi, kwani siasa ni kazi ya kuwahudumia watu sio mchezo wa jando na unyago kwamba tunafanya kwa kujificha.
 

Siasa sio wizi wa kura kwa kutumia vyombo vya Dola.
 

FARIS BURUHANI: SIASA SIYO MCHEZO WA JANDO NA UNYAGO

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhani amewaasa viongozi wa Jumuiya ya vijana ngazi zote ndani ya mkoa wa Kagera kufanya kazi kwa bidii ili kuzitendea haki nafasi walizonazo kwenye maeneo yao, huku akisisitiza kwamba hiyo ndiyo njia pekee ya kulinda imani waliyopewa na vijana waliowachagua kwenye nafasi hizo.

Buruhani ameyaeleza hayo alipokuwa akizungumza na wajumbe wa Baraza la Umoja wa Vijana wa CCM wilaya ya Muleba ambao ni viongozi wanne kutoka katika kata 43 zinazounda wilaya ya Muleba.

Faris amesisitiza kwamba maendeleo ya sayansi na teknolojia yasaidie kuonesha ni nini vijana wanafanya, lini wanafanya na wanafanyia wapi, akibainisha kuwa siasa ni kazi ya kuwahudumia watu na wala sio mchezo wa jando na unyago unaowafanya watu kujificha.
 

Attachments

  • WhatsApp Video 2025-04-11 at 18.25.20.mp4
    22.1 MB
 
huyu yupo uraian anatamba na afya na furaha tele ila TAL yupo rumande
 
Back
Top Bottom